Teh Teh yanii mapema...
Issue sio kupokea Kigogo wa CCM, issue ni je mnampokea kama nani? Mwanachama wa kawaida au mgombea wa CDM?
Acha kubweka kama bweha abwekeaye ndege warukao....
JK mwenyekiti wako sio fisadi??
JK ndiye alicheza dili ya Richmond kizembe ikabumbuluka Lowassa alijiuzulu ili kuokoa Serikali na CCM...
Sasa mbona Richmond bado ipo nchini ambayo ndiyo SYMBION ya ubungo?? unabweka nini wakati bado unaliwa?? si mnaumizwa na ufisadi mwambieni JK aifunge SYMBION maana inakula pesa zile zile kama za RICHMOND!!!!
SIMBA TRUST iliyokwapua mabilioni ya ESCROW inamilikiwa na JK & SALMA mbona hamjawahi kuhoji??
Wewe mpumbavu kama si mchawi utakuwa mwanamke mwenye wivu wa viwango vya juu....
Kama chadema wamefika hatua ya kumwalika lowasa kwenye chama chao, basi ni hatari. Kwa lugha nyingine wanamualika chenge, rostam na wengine wa aina hiyo! Watakuwa ni wapumbavu, binafsi nakatishwa tamaa na siasa za bongo hasa ninaposikia kuwa sasa lowasa ni mbeba bendera wa chadema. Sasa baada ya uchaguzi watatuambia kuwa wanapinga ufisadi?
Magirini ya kisiasa hata wewe yamekuyeyusha?Tunataka jk akane,alivyo kuwa anampigia kampeni mwaka 2010 kuwa hajawai kumuona kiongozi bora na mchapa kazi kama lowasa,video tunazo
Sawa nimeelewa. Ahsante!A n a j i u n g a c d m
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM
Yupo Membe aliyepora Mali na mapesa yote ya Gadafi na wahindi kibao .mkuu tuliza munkari. kwanza mtoa hoja hajamtaja huyo kigogo anayehamia UKAWA...wewe umejuaje kwamba ni lowassa? grow up a bit guz! je, lowassa kuingia ukawa ni haramu lakini nyie CCM mnavyowaleaj mafisadi kama chenge, rostam, rugemalira, maranda, yona na mramba ni sahihi? mbona unakuwa mfinyu wa akili hivyo man?
Siasa za mafisadi hizo
Ila najiuliza swali. MTU ambaye ameshindwa kukidhi vigezo vya CCM anawezaje kukidhi vya UKWA?
Ila najiuliza swali. MTU ambaye ameshindwa kukidhi vigezo vya CCM anawezaje kukidhi vya UKWA?
Ila najiuliza swali. MTU ambaye ameshindwa kukidhi vigezo vya CCM anawezaje kukidhi vya UKWA?
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule