Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Haya mambo ya maombi na maono yalimfanya akaenda Kisongo naona kaanza tena hahaaaaaMh Spika nashukuru kwa msamaha wako wa bure , lakini Mimi na familia yangu tumechagua kuendelea kukuombea .
View attachment 588086
Eti eehHe should learn how to shut up Kisongo Prison Society Misses him so much.
Hongera sana mh lema katika hiloMh Spika nashukuru kwa msamaha wako wa bure , lakini Mimi na familia yangu tumechagua kuendelea kukuombea .
View attachment 588086
NDIO MAANA MNATAKA KUWAPUNGUZA KWA RISASIAwa ndo wanasiasa uchwara ambao hawana tija na taifa hili,... Zaidi ya kiki,
He should learn how to shut up Kisongo Prison Society Misses him so much.
Awa ndo wanasiasa uchwara ambao hawana tija na taifa hili,... Zaidi ya kiki,
Mku 2019 hiyo hapo mbele yatu ni machoTukiendelea kumvumilia chizi awe mmoja wa viongozi wakuu wanchi tunajitafutia matatizo tuu
Kwa nini wasimrudishe India kuendelea na matibabu ya afya ya akili
I WISH I KUDU BE IGBP, ningerara mbere na wewe! Hiyo dwarf kwanza imetoka India juzi tu kwa matibabu ya afya ya akili so hawezi kushindana na akili kubwa ya Lema kwa hoja!He should learn how to shut up Kisongo Prison Society Misses him so much.