Lema: Spika nashukuru kwa msamaha wako wa bure lakini mimi na familia yangu tumechagua kuendelea kukuombea

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Mhe. Godbless Lema ametoa maneno hayo ya shukurani kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter, ameandika;

"Mh Spika nashukuru kwa msamaha wako wa bure , lakini Mimi na familia yangu tumechagua kuendelea kukuombea."

Lema.JPG
 

Attachments

  • Glema.jpg
    Glema.jpg
    8.3 KB · Views: 65
Upinzani sio uhalifu, CCM sio tafsiri ya amani.., ni dhambi kufikiri na kutaka watanzania wote wafikiri katika dhima ya itikadi mfanano.., nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa.., acha watu waamini katika itikadi wazipendazo, usiwalazimishe katu—katu!

Upendo ni tiba.
 
He should learn how to shut up Kisongo Prison Society Misses him so much.
I WISH I KUDU BE IGBP, ningerara mbere na wewe! Hiyo dwarf kwanza imetoka India juzi tu kwa matibabu ya afya ya akili so hawezi kushindana na akili kubwa ya Lema kwa hoja!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom