Lema: Joshua 24:15 inasema "Chagueni hivi leo Mungu mtakayemtumikia lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana"

ukiona mswahili ibada nyingi na mahubiri mdomoni ujue maji yako shingoni. Nabii Lema rudi nyumbani watu wanakula na kusaza
 
Nimependa sana huu Ujumbe wa Lema aliounukuu kutoka kitabu cha Joshua 24:15

Chagueni Hivi leo Mungu mtakayemtumikia lakini mimi na Nyumba yangu Tutamtumikia Bwana

Heri ya mwaka mpya nabii Godbless Lema
Neno bora kabisa la kuanza nalo mwaka mpya.

Mimi ni nyumba yangu tunamtumikia na tutamtumikia Bwana Mungu wa Majeshi.

Ubarikiwe sana mdogo wangu Lema.
 
mswahili ni mnafiki sana

Ndio tabia zenu wakuzimu kwamba mtu akiwa na imani na mapenzi yake kwa Mungu anaitwa mnafki

Mnataka kila mtu awe kama nyie.....


Mithali 1:32-33
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.

Yeremia 22:21
Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu.
 
Ndio tabia zenu wakuzimu kwamba mtu akiwa na imani na mapenzi yake kwa Mungu anaitwa mnafki

Mnataka kila mtu awe kama nyie.....


Mithali 1:32-33
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.

Yeremia 22:21
Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu.
we wambinguni umekula maharage ya wapi?
 
we wambinguni umekula maharage ya wapi?

Kwani wewe wa wapi? Kumbe hata hujui roho yako ilikotokea!?

1 WAKORINTO 15: 45-54

45 Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.
46 Lakini hautangulii ule wa roho, bali ule wa asili; baadaye huja ule wa roho.
47 Mtu wa kwanza atoka katika nchi, ni wa udongo. Mtu wa pili atoka mbinguni.
48 Kama alivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni.
49 Na kama tulivyoichukua sura yake yule wa udongo, kadhalika tutaichukua sura yake yeye aliye wa mbinguni.
50 Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu; wala uharibifu kurithi kutokuharibika.
51 Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika,
52 kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika.
53 Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
54 Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa kwa kushinda.
 
Mchungaji Lema ana taka kuchukua mikoba ya mchungaji msigwa...

Hiki chama sasa ni wakati sasa wa kuanzisha kanisa na kugawana kanda na kupeana vyeo vya uaskofu

Kanda ya iringa wampe askofu msigwa
Kanda ya arusha apewe askofu lema
Kanda ya kati apewe askofu mwamakula
Nk...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom