Huyu mwizi wa magari lazima atafungiwa si chini ya miezi mitatu,Arusha ahadi zake hamna kitu,maendeleo hamnakitu,na mikutano ya kimataifa inaamishiwa DAR,wanajuta sana wanaArusha kumchagua chizi,kudadadeki!!
bora aupeleke huko huko bungeni. Zaidi anaweza kukichafua chama chake.maana watz sasa watajua kwamba chadema ni chama cha dini gani
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Acha chuki za kina dada hijab kitu gani lina zuwia nini lina tenganisha nini acha kuwaza mawazo ya ya ajabu acha kupandikiza chuki hijab ni kitamba tu kama cha shati lakoKwanza tunataka kuuliza uvaaji wa hijabu mashuleni ulianza mwaka 2010? Ni nani aliruhusu uvaavji huu huku akijua kuwa ni kuanza kugawa watanzania kidini? Tulisoma enzi zetu bila haya mambo na hakukuwa na tabu. Shame on you watu mnasema CDM
inazungumzia udini. Mambo wawaanzishe wao halafu leo mnabambikiza CDM?
Ni kweli watuambie kwanza kuhusu ushahidi wa kusema uongo kwa Pinda.
siungi mkono. Nadhani Waislam hawatamuangalia kikwete kama Kikwete. Watamuangalia Kikwete kama Musilam naLlema na CHADEMA kama Wakristo
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Naunga mkono msimamo
huu.Hata kama ningekua Lema nisingefanya hivyo.Akipeleka kutakua na
tofauti gani na alivyopeleka mwanzo hadi leo kimya.Mwendawazimu ni yule
anayefanya jambo lile lile kwa watu walewale wenaotumia ghiliba zile
zile za siasa ilele wakitegemea matokeo tofauti.Lema hawezi kuwa
mwendawazimu apeleke ushahidi ambao anajua matokeo ni yale yale
watampa adhabu gani?
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Kaka, Lema hajakataa kupeleka ushahidi lakini anataka athibitishe kama "alivyokashifu" kwa kuongea mbele ya bunge na wananchi kwa ujumla na sio kumwandikia katibu wa bunge then speaker akaone na kutoa hukumu kama ushahidi unatosha au hautoshi. Anachotaka Lema ni uwazi.