Lema: Sitapeleka ushahidi wangu uchochoroni tena!!

Lema: Sitapeleka ushahidi wangu uchochoroni tena!!

Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.

Kaka, Lema hajakataa kupeleka ushahidi lakini anataka athibitishe kama "alivyokashifu" kwa kuongea mbele ya bunge na wananchi kwa ujumla na sio kumwandikia katibu wa bunge then speaker akaone na kutoa hukumu kama ushahidi unatosha au hautoshi. Anachotaka Lema ni uwazi.
 
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.

ukue mbona ushahidi upo wazi
1.ilani ya uchaguz 2005,aliahidi mahakama ya kadhi. 2.hotuba ya march 2013 kawataja wote walosomewa itikifu ili wfe na wote ni waislam na wamesomewa na waislam wenzao 3.kampen 2010 nk.
 
Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.

Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!

Huyu mwizi wa magari lazima atafungiwa si chini ya miezi mitatu,Arusha ahadi zake hamna kitu,maendeleo hamnakitu,na mikutano ya kimataifa inaamishiwa DAR,wanajuta sana wanaArusha kumchagua chizi,kudadadeki!!
 
hiyo nafasi watakayompa kujieleza wataomba ardhi ipasuke!!!namuaminia kamanda wangu
 
Huyu mwizi wa magari lazima atafungiwa si chini ya miezi mitatu,Arusha ahadi zake hamna kitu,maendeleo hamnakitu,na mikutano ya kimataifa inaamishiwa DAR,wanajuta sana wanaArusha kumchagua chizi,kudadadeki!!
umeshakula mashudu ya ng'ombe wewe
 
Kweli kabisa bora asipeleke maana hawawezi hata kuufanyia kazi kama ule wa uwongo wa waziri mkuu!
 
Mbona umeishiwa hoja unabaki kutukana tuu? Hivi ule wa uongo wa waziri mkuu ulifanyiwa kazi?
Huyu mwizi wa magari lazima atafungiwa si chini ya miezi mitatu,Arusha ahadi zake hamna kitu,maendeleo hamnakitu,na mikutano ya kimataifa inaamishiwa DAR,wanajuta sana wanaArusha kumchagua chizi,kudadadeki!!
 
"
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
"
yaani we udini ni kuangalia uwingi wa dini fulani serikalini!. mbona hufanani na great thinker. kwa hiyo unataka ajira zitolewe kwa udini bila kujali fani au uzoofu wa mtu. sisi tunaposema udini tunamaanisha upole wa kikwete kushughulikia maswala yanayohusu udini na baadhi ya watumishi kujihusisha na uchochezi wa maswala ya udini. vilevile jinsi kikwete alivyohubiri udini 2010. vp hapo upo!
 
Ni kweli Mkuu Mtikila yeye alisema Jk,ni "GAIDI"na kweli Mahakama ilithibitisha Kuwa Kauli ya Mtikila pasipo Shaka ni ya Ukweli!!

Kauli ya Mh, Lema ni kwamba alisema JK,ndie Mwanzilishi wa Udini Tanzania!! Je huoni kwamba kauli hizi zinatofautiana??

Cha Msingi hapa ni kwamba SPIKA eleze kwanza ule ushahidi wa Tuhuma ya kwanza juu Kauli ya Waziri Mkuu kusema uongo.....na aliyomuagiza Lema alete ushahidi je aliuleta??

Huwezi kushugulikia kesi ya leo mwaka huu 2013,wakati kuna kesi ya mwaka Juzi 2011,kwa mtuhumiwa yule yule.

Labda Nimshauri Mh Lema kwamba Usikubali kuleta au kuonyesha Ushahidi kwa kuwa ulipo fanya hivyo mara ya kwanza hukuambiwa kwamba ushahidi wako ni sahihi au sio!!

CCM HAIKUBALIKI SOTE TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!!!

Kwa hiyo mahakama ilikubali kuwa JK ni gaidi, sasa mbona hajakamatwa anakula tu bata magogoni?
KIKWETE.jpg
 
bora aupeleke huko huko bungeni. Zaidi anaweza kukichafua chama chake.maana watz sasa watajua kwamba chadema ni chama cha dini gani

".........kazi yake kubwa ilikuwa kutunga mashairi yanayo hamasisha watu kupigana bila kufikiri...."
Amewaathiri sana!
 
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.

kwa nini umewazungumzia waislamu?? Kabla ya kupeleka huo ushaidi, uwekeni wa pinda kwanza.
 
Hongereni Chadema kuonesha Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi kwenu!
Ee Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi,mtu huyu aliyejificha machoni petu,wewe unaona hadi dhamira ya moyo wake,iwapo siku itakuja yenye giza na utusi tusi,ruhusu ianzie kwake na familia yake,ili apate kutambua vilio vya wanyonge wasio na mtetezi,isipokuwa wewe Ee Mungu,utakayewaepusha na uchochezi huu wa wazi,mtu huyu anaoleta kwa maslahi ya wanaoendeleza dhulma na ukandamizaji wa kundi kubwa la wanyonge masikini wa Tanzania.Amin

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
chadema kabla hawajaingia mjengoni kwanza lazima wakae na viongozi wa makanisa kupangiwa nini wazngume bungeni?

Lengo lako ni kutusababishia Matatizo humu Jf nimekushtukia , na kama ungekua karibu yangu hivi sasa ningekuwa nimeishapelekwa polisi , na kwa vile huna ushahidi , wala sitajisumbua kwamba thibitisha andiko lako .
 
Ila uandae na ukae nao,wasije wakakutafutia sababu bure.
 
Naunga Mkono hoja , hakuna kumung'unya maneno , always Matatizo kama haya hutatuliwa na UKWELI tu , Hata Mbowe juzi kwenye uzinduzi wa kanda ya Pwani alimtaja Jk Waziwazi kama Muasisi wa mambo ya Udini , mbona hamkumtolea macho ? Lema amerudia tu Bungeni , ushahidi utawasilishwa Bungeni na tena TBC WAURUSHE LIVE , mbona mtajibeba safari hii !
 
Naunga mkono msimamo huu.Hata kama ningekua Lema nisingefanya hivyo.Akipeleka kutakua na tofauti gani na alivyopeleka mwanzo hadi leo kimya.Mwendawazimu ni yule anayefanya jambo lile lile kwa watu walewale wenaotumia ghiliba zile zile za siasa ilele wakitegemea matokeo tofauti.Lema hawezi kuwa mwendawazimu apeleke ushahidi ambao anajua matokeo ni yale yale
kama mtakumbuka kuna kipindi machali aliambiwa unawashwa washwa na kashilila,mnyika asubuhi yake akaomba mwongozo kuhusu tusi hilo na jeny alisema tutatoa majibu mpaka leo kimya,naunga mkono hoja kwani wanapenda kutolea maamuzi yasioonekana gizani.
 
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.

Ritz, Lema hajasema hana ushahidi, anachotaka ni waweke wazi kwanza ule wa kwanza alioombwa na Spika kuhusu Pinda na akapeleka, anataka kujua hilo liliishaje ndo apeleke wa JK na udini wake. Hata hapo Ritz uelewi tu?
 
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.

Siku hiyo itadhihirika wazi jinsi 'baba' alivyo mdini, mbinafsi na mwingi wa visasi.
 
Back
Top Bottom