Hongereni Chadema kuonesha Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi kwenu!
wewe acha hizo. mbona unaongea uongo hadharani? lini PENGO alisema kikwete ni mdini? kwa kuwa katiba ibara ya 18 inakupa uhuru wa kutoa maoni sishangai kwa ulichokiandika, ila jaribu kuandika FACTS ili zitusaidie watanzia