The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 599
Crusade tena inageuka kuwa movement lakini bado ni democratic sio mbaya. Umefaulu mtihani wa kutunga sentensi japo haina maana kama vile
Christians Democratic Movement !
Crusade tena inageuka kuwa movement lakini bado ni democratic sio mbaya. Umefaulu mtihani wa kutunga sentensi japo haina maana kama vile
Hiyo kaptula ,shati,sketi blauzi alianzisha nani mashuleni?Kwa kifupi mtu avae chochote anachotaka kuvaa ilimradi kinahifadhi mwili na halazimishi mwengine avae anachotaka kuvaa yeye.Huo ndiyo uhuru wa mavazi.Kwanza tunataka kuuliza uvaaji wa hijabu mashuleni ulianza mwaka 2010? Ni nani aliruhusu uvaavji huu huku akijua kuwa ni kuanza kugawa watanzania kidini? Tulisoma enzi zetu bila haya mambo na hakukuwa na tabu. Shame on you watu mnasema CDM inazungumzia udini. Mambo wawaanzishe wao halafu leo mnabambikiza CDM?
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Wewe riziwani unajifanya wewe ni Mungu mtu kumbe mshamba tuu....ndio kikwete ndie kinara wa udini, hata wewe ni mdini..mtoto wa nyoka ni nyoka.nyambafff kabisa.Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Busara hapa ni kupeleka na unaowapelekea kutokupa adhabu ima kwa vithibitisho vyako kuwa vina ukweli na wao kuona aibu kuumbuka au achague kutokuwa na busara kwa kutopeleka na kuwapa mwanya kufikia maamuzi kwamba hukupeleka vithibitisho na ameshindwa kuithibitisha na kuamua kumpa adhabu kwa kauli uliyoitoa na kushindwa kuthibitisha.Ushauri kama kweli anaweza kuthibitisha apeleke la sivyo atakuwa ameshakata tiketi ya adhabu dhidi yake.kwani kutofanya hivyo ni sawa na kushindwa kuthibitisha. Hasira ya mkisi furaha kwa mvuvi au Hasira Hasara!Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
Kwanza tunataka kuuliza uvaaji wa hijabu mashuleni ulianza mwaka 2010? Ni nani aliruhusu uvaavji huu huku akijua kuwa ni kuanza kugawa watanzania kidini? Tulisoma enzi zetu bila haya mambo na hakukuwa na tabu. Shame on you watu mnasema CDM inazungumzia udini. Mambo wawa
anzishe wao halafu leo mnabambikiza CDM?
Christians Democratic Movement !
Nakushauri kamanda wangu wa ukweli usithubutu kabisa kupeleka ushahidi walioomba kuhusu udini wa dhaifu. Tuko nyuma yako hata wakikupa adhabu gani sababu tumewazoea. Nasema hivyo kwa sababu mpaka sasa ushahidi uliotoa wa mzee wa kulialia mpaka leo wameukalia na haijulikani watauweka hadharani lini. Vivyo hivyo na ushahidi wa Mh.Mnyika kuhusu Mwigulu kuhusika na EPA nao wamepotezea. Sasa mtakuwa mnapeleka ushahidi wa nini? waweke hadharani kwanza ule wa awali ulio peleka ndipo uwape nondo nyingine.
Kiti cha spika kimekuwa kichaka cha wahalifu wa nchi hii. hakuna jambo lenye manufaa na nchi hii litafanyiwa kazi. Nadhani leo watanzania wote ni mashuhuda jinsi spika asivyo fuatata kanuni kwa kuweka wino kwenye adhabu ya wabunge waliotolewa nje juzi. Yaani unaona kabisa huyu mama ni empty headed.
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Hongereni Chadema kuonesha Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi kwenu!
watampa adhabu gani?
Chama Cha Majangili
Ni kweli Mkuu Mtikila yeye alisema Jk,ni "GAIDI"na kweli Mahakama ilithibitisha Kuwa Kauli ya Mtikila pasipo Shaka ni ya Ukweli!!
Kauli ya Mh, Lema ni kwamba alisema JK,ndie Mwanzilishi wa Udini Tanzania!! Je huoni kwamba kauli hizi zinatofautiana??
Cha Msingi hapa ni kwamba SPIKA eleze kwanza ule ushahidi wa Tuhuma ya kwanza juu Kauli ya Waziri Mkuu kusema uongo.....na aliyomuagiza Lema alete ushahidi je aliuleta??
Huwezi kushugulikia kesi ya leo mwaka huu 2013,wakati kuna kesi ya mwaka Juzi 2011,kwa mtuhumiwa yule yule.
Labda Nimshauri Mh Lema kwamba Usikubali kuleta au kuonyesha Ushahidi kwa kuwa ulipo fanya hivyo mara ya kwanza hukuambiwa kwamba ushahidi wako ni sahihi au sio!!
CCM HAIKUBALIKI SOTE TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!!!
Chama Cha Majangili
Hujui maana ya udini, udini si kujaza waislam au wakristo serikalini.Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.