Udini tunausoma tu kwenye vyombo vya habari. Uraiani wananchi hatuna hayo.Nakubali kabisa hiyo ni dalili kubwa ya udini.
Mbona wakati tunasoma haya hayakuwepo?
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.
Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.
Siku saba siyo nyingi.
Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Ongeza na mengine, mwite vyovyote unavyotaka lakini ni wewe unayeonekana kituko. Hata maneno unayotumia ni kipimo cha uelewa wako. Unachangia hoja muhimu kama uko kwenye mipasho!Huyu mwizi wa magari lazima atafungiwa si chini ya miezi mitatu,Arusha ahadi zake hamna kitu,maendeleo hamnakitu,na mikutano ya kimataifa inaamishiwa DAR,wanajuta sana wanaArusha kumchagua chizi,kudadadeki!!
bora aupeleke huko huko bungeni. Zaidi anaweza kukichafua chama chake.maana watz sasa watajua kwamba chadema ni chama cha dini gani
Hatukuwa na hijabu. Waislam wakaomba watoto wao waruhusiwe kuvaa hijabu na vile vitambaa mashuleni kufunika kichwa!! Huoni kama hapo ndiyo mbegu ya udini ilianza? Kwani wakati wanavaa sketi na blousi waislam hawakuwepo? Mstituletee udini hapa halafu mnaanza kuwasukumia CDM!! Sasa na vijana wenu mashuleni wavae kanzu maana itawasitiri zaidi ili wafiche ile uvaazi wa mgegezo, a.k.a kata kei!!!Hiyo kaptula ,shati,sketi blauzi alianzisha nani mashuleni?Kwa kifupi mtu avae chochote anachotaka kuvaa ilimradi kinahifadhi mwili na halazimishi mwengine avae anachotaka kuvaa yeye.Huo ndiyo uhuru wa mavazi.
Acha chuki za kina dada hijab kitu gani lina zuwia nini lina tenganisha nini acha kuwaza mawazo ya ya ajabu acha kupandikiza chuki hijab ni kitamba tu kama cha shati lako
Kama unashindwa kufikiria au kujuwa athari za maneno tumia kingamuzi kufikiria. Kwanza tumesha wajuwa nyiye ccm kaziyenu ni kuwagawa watu sisi tulisha amka mda huna mawazo ya kujenga mwazo ya aina hiyo peka kwako umulize mkeo au ndugu zako hatupo kujadili kitucha kututenganisha tunataka kujuwa tutaishi wala tz hatuna udini zaidi ya wanasiasa kutaka kutugawa ili waendeleye kuongoza au kubaki madarakani kituambacho kimepitwa na wakati ulimwengu wa digital