eumb
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 149
- 70
Mbunge wa Arusha mjini ametoa kauli nzito kuhusu yeye kutoa ushahidi wa kudhibitisha kauli yake bunge kuwa Raisi JK ni mdini, amesema kamwe hata peleka ushahidi wake uchochoroni tena kama alivyofanya awali pale alipomtuhumu PM Pinda kuwa alisema uongo bungeni.
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!
Hapo nakubaliana sana na Lema, nafikiri Speaker ampe nafasi adhibitishe japo kufanya hivyo kunaweza kuleta balaa hasa pale atakaposhusha nondo za kweli!!