Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.
Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.
Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.