LEMA ni zaidi ya MALEMA!

ndio nashangaa CUF wanasema wamekuja kuvunja kambi ya Chadema........

Hivi inawezekana Mfupa (CDM) uliomshinda fisi (CCM) paka (CUF) akautafuna kweli?! mbona zama za miujiza zimekwisha!
 
Hivi inawezekana Mfupa (CDM) uliomshinda fisi (CCM) paka (CUF) akautafuna kweli?! mbona zama za miujiza zimekwisha!

mbaya wanafunzi wote watakaokuwa na miaka 18 by 2015 wana hamu kubwa sana ya kuiweka cdm madarakani.Hii ni hazina ya vijana wa CDM kam reserve ya Jeshi.Achilia mbali watoto wadogo wa kuanzia chekechekea wanaopenda nyimbo na bendera za CDM kwa hiari yao na si kama chipukizi wa kipindi kile.
 
haki haiwezi kuzuiliwa na ccm hata siku moja ila ukweli utabaki pale maana nchi hii sio ya ccm bali ni ya wanannchi hawa tuliowaweka madarakani wanatuona kama sisi hatuna akili
 
Mleta Mungu akubariki kwa hekima yako ya kuona mambo kwa jicho la mbali.

Lema ni noumaaaaaaaa !
Lema ni jembe.....................!

Kwakweli namkubali sana huyu kamanda na hata kama ningekuwa na dada basi ningemuozesha kama zawadi.

Mtu ambaye kajishusha kwa ajili ya watu.

Hapa napata picha kuwa Lema ni mithil ya Martin luther King au Marcus garvey.

Lema we ni jembe..............!

Embu rekebisha hilo tusi, lema sio jembe. Lema ni wa ukweli. we unajua sifa za jembe? Jembe linatundu nyuma, halifanyi kazi mpaka litiwe mpini tunduni, na nilazima uzamishe mpini wote, kisha kazi inaanza.
 
off course Lema ni mwanaume wa ukoo wa Lema na Ma-Lema ni mwanamke wa ukoo wa Lema.Nadhani tutaelwana haya yakiwa sawa .
 
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha kuwa muwazi tu mkuu,lema ni jambazi na mwizi wa magari,sasa anajificha ktk siasa,full stop,hakuna kupepesa macho wala kuuma maneno.
 
Hivi kuna Mhalifu anayejulikana na Polisi wasiwe na data zake? au unajitia upofu kwamba hujui CCM inahaha usiku na mchana kutafuta namna ya kumzima Lema lakini wanashindwa? Otherwise labda uniambie huo uhalifu anashirikiana na JK ndio maana vyombo vyote vya dola vinamuogopa.

matola acha basi,kweli ccm wamtake lema washindwe?hawajamtaka wakimtaka dakika 5 wanampoteza na itakua historia kuwa arusha kuna mtu alikua mbunge anaitwa lema tok cdm,ogopa dola kaka popote duniani,dola ikikuamulia unapotezwa maramoja.
 
mmhhhhhhhhhhhhhhhh kuna upofu wa kuzaliwa na wa kujitakia kazi ipo! Jamani umaarufu wa Lema zaidi ya Arusha upo wapi? Si alijaribu M4C kwenye vitongoji vya Dar aliona shuguli ilivyokuwa ngumu; Malema kila kona South Africa ni gumzo na anakubalika na wengi sana acheni kufananisho mlima na kichuguu, kweli Mrisho Ngasa anacheza soka lakini kumfananisha na lionel Messi ni kichekesho na dhihaka kubwa kwa wapenzi wa soka!

Chama
Gongo la mboto DSM

asante chama,umemaliza kazi,umeyanena yale yaliyo moyoni mwangu,umefunga dimba mkuu na mechi imekwisha.
 
lema pia ni mchungaji na anapendwa sana na watu wa arusha vile anawachunga watu wake wa arusha
 
asante chama,umemaliza kazi,umeyanena yale yaliyo moyoni mwangu,umefunga dimba mkuu na mechi imekwisha.

Kwa wamachame na Lugha yao "Lema ni mwanaume wa ukoo wa Lema na Ma-Lema ni mwanamama wa Ukoo wa Lema" so si sahihi baba akawa anarudi nyuma ili mama aende linda familia.
 
Umeota mchana, mbona kwenye kesi ya chenge aliyegonga sikuona hata sisimizi? au unataka kutukumbusha nchimbi alivo furumushwa na maandamano ya wana habari, unajichora tu

Yale maandamano ya wanahabari yalikuwa Lema?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
chama kitu usichokijuwa ni bora uulize, Malema hawezi kuwa maarufu kila kona South Afrika, umeshawahi kumuona Malema Cape Town? naifahamu vyema South Africa mtu maarufu nchi nzima ni Mandela peke yake.

South Afrika ni nchi ya majimbo na ukabila pia, kila mtu ni maarufu kwenye kabila lake na si nchi nzima, ila nakubali kwamba ANC ndio maarufu South Afrika nzima lakini si kiongozi mmoja mmoja.

Ahaaa mkuu Matola kama mtu kukuuliza utakuwa wewe ni afadhali nikae na upumbavu wangu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Umhhh, pengine ni exaggeration kumlinganisha Lema na Malema. Malema amekuwa akisimamia itikadi akitaka serikali imeliki uchumi ili watu wa chini wafaidike na hii ndiye iliyomfanya amuunge mkono Zuma na kumkacha Mbeki. Sasa Lema sio ideological. Yeye ni mhamasishaji. Hata ukienda ukawauliza vijana pale Arusha kwa nini mnapenda Lema, wataishia kukwambia ni jembe, kiboko, n.k., lakini hawatakwamba kitu cha kushikika. Hata hapa JF waambie watu wakwambie kwa nini wanasema Lema ni jembe hawatakwambia zaidi ya kukwambia ana msimamo, jembe. Ukiwauliza msimamo wa nini ni swali gumu kabisa! Kwa hiyo kwamba kulinganisha watu hawa ni kulinganisha kichuguu na mlima! Tuendelee kumpenda Lema wetu lakini sio lazima tumlinganisha na wanasiasa nguli kama akina Malema.
 
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia. Binafsi najua mji wa arusha unaweza kuwa wa kwanza kwa matukio ya uhalifu , so LEMA lazima atakuwa na marafiki wengi sana wanaotaka kujificha kupitia yeye na kwa maana hiyo wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana katika kufanya fujo na ikaonekana kuwa anashangiliwa LEMA.

Ni vizuri, umejitahidi kuonyesha upande wa pili wa shilingi, lakini mbona unazunguka mbuyu? Tafadhali toa mifano yenye uhalisia na ikiwezekana vielelezo. Vinginevyo unaonekana kama unataka tu kumchafulia Lema kwa kuweka hapa JF hisia zilizojaa harufu ya uovu.
 
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia. Binafsi najua mji wa arusha unaweza kuwa wa kwanza kwa matukio ya uhalifu , so LEMA lazima atakuwa na marafiki wengi sana wanaotaka kujificha kupitia yeye na kwa maana hiyo wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana katika kufanya fujo na ikaonekana kuwa anashangiliwa LEMA.

A GREAT THINKER? rudisha hela za nepi alizokupa mana kazi yake umeshindwa kuifanya kwa ufasaha,NO RESEARCH,NO CORRECT DATA NO RIGHT TO SPEAK.mkajifungie tena pale lumumba mjipange upyaa!
 
Ahaaa mkuu Matola kama mtu kukuuliza utakuwa wewe ni afadhali nikae na upumbavu wangu!

Chama
Gongo la mboto DSM
Kujijuwa tu kama wewe ni mpumbavu pia ni hatuwa kubwa, hongera kwa hilo utakuja kuelewa tu.
 
Back
Top Bottom