Nang'atuka pole sana!! sana!! mwananchi naona una matatizo ya kusau ama kuna hitilafu ku Mkichwa nyie Magamba si mnasema nchi hii inaendeshwa kwa utawala bora sasa unavyosema kama Mh,Jembe,Kamanda,Brigedia Gobless Lema anajificha kwa kivuli cha siasa sasa si wangemkamata na kumfungulia mashtaka kwa kutumia hiyo kauli yenu mbiu ya utawala bora na sheria kama kweli ana mambo ya kiuhalifu?
Mie naona kama huna kitu cha kuandika ni bora tu ukaanzisha issue ingine kule kwa Michuzi blog au nenda kwa page ya Mapenzi huenda huko kutakufaa maake siasa zako ni za maji taka na hapa sio saizi yako na wivu utakuuwa mkuu.Kwa kifupi kama hupendi Mh Godbless Lema apendwa na Wabongo maake huyu Kamanda anapendwa pande zote sio Arusha tu hata kwenu wanampenda na hata wewe ipo siku utampigia Salute.