LEMA ni zaidi ya MALEMA!

Ndio kitu ulichopenda kiwe hivyo.HUjaona nimekuambia kuwa si wengi, hasa wale wenye maslahi ktk nyumba za uridhi zenye wakfu.Kwani huko mara nyingi CCM na msikiti ndiye msuluhishi na wala si mahakama.Hawa ni vigumu kuiona CDM popote,kwani kuwaingia CDM ni kukosa favour katk hizi kesi.

Unafanya makosa makubwa sana unapo inasibisha CCM na Uislam, ndio maana watu wanapata kuinasibisha Chadema na Ukiristo mkuu, achana na siasa za udini.
 
Machalii wa Arusha mkishapata supu za ulimi wa ng'ombe mnakaa kwenye vijiwe vyenu na kuanza kumsifia Lema, bila sababu kumfananisha Lema na Malema, ni sawa na kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

Mkuu Ritz kwenye ukweli basi usemwe tu!
Kwamba Lema ni jembe na siasa zake ni mithili ya Malcom X hivi, na kamwe huwezi kumlinganisha na yule mzee kijana wa UVCCM bwana Martin Shigela.
 
Sidhani kama kweli unamfahamu Malema wa Sauth Africa au unaunga tela tu.Malema mwenyewe SA kuna sehemu hawamkubali kutokana na mabo yake.Kimsingi si watu wote watakukubali lkn Lema yupo juu
 
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.

Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.

Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.

Ritz kuwaambia watu kuwa wote walioenda mahakamani hawana ajira au miradi ni tusi kwa watu wa arusha. Wanaishije hapa mjini kama hawana kazi au wanakula nini, watoto wao wanawasomesha na nini. Tatizo ni story za vijiweni kuwa arusha wapo vijana wengi wasio na kazi wanakaa vijiweni na mnaamini hayo. Hakuna mji usio na hao vijana wakaa kijiweni. Na wanaompenda Lema sio vijana wa kijiweni ni wenye kazi zao na miradi yao na wanajishighulisha na kazi zao na wanatenga muda wao kwenda kusikiliza kesi. Kwa hiyo unataka kuniambia hata chama chako kikifanya mkutano wakija vijana utawasema ni wa kijiweni. Au kwa kuwa ni CDM ndo unawaambia hawana kazi wala miradi. Acha unazi bana.
 
Last edited by a moderator:
Unafanya makosa makubwa sana unapo inasibisha CCM na Uislam, ndio maana watu wanapata kuinasibisha Chadema na Ukiristo mkuu, achana na siasa za udini.

Makosa yepi sasa wakati waislam wanasema wazi mtaa wa bondeni, kaloleni, bondeni etc?CCM ndio waasisi wa udini na wazee wa Dar wapo wazi kuwa wao ndio walianzisha TANU na kumkaribisha Nyerere, na ilifika mahali Nyerere akawa anafunga na kufuturu nao ili afanane nao?Hujasikia hayo?Hujasikia ukanda toka matamko makubwa kule Kibaha?NA mwan amafalme alisema hayo?

Uislam na CUF na CCM si jambo la kuuliza kwa wazee wa chama wa mikoa yote walipo mjini.

CDM hawajawahi tangaza sera kama hiyo na hakuna wafanyapo kwa vitendo.ndio maana wahanga wake makubwa utakuta kuna waislam wengi.CDM hawana Kampeni za makanisa wala misikiti.Sasa hivi CCM wameamua kuingilia hadi makanisa ili kupata kura kwa minajili ya kidini,Rostam anakwenda honga wanakwaya, sasa hivi radio iman wanatangaza wazi CDM wakiingia itaani nao(waislam) wataingia kupambana nao.CUF wanaingia na "muislam" anayejidai kuwa mchungaji halafu wanaweka Sheikh wa kweli.
 
Ritz kuwaambia watu kuwa wote walioenda mahakamani hawana ajira au miradi ni tusi kwa watu wa arusha. Wanaishije hapa mjini kama hawana kazi au wanakula nini, watoto wao wanawasomesha na nini. Tatizo ni story za vijiweni kuwa arusha wapo vijana wengi wasio na kazi wanakaa vijiweni na mnaamini hayo. Hakuna mji usio na hao vijana wakaa kijiweni. Na wanaompenda Lema sio vijana wa kijiweni ni wenye kazi zao na miradi yao na wanajishighulisha na kazi zao na wanatenga muda wao kwenda kusikiliza kesi. Kwa hiyo unataka kuniambia hata chama chako kikifanya mkutano wakija vijana utawasema ni wa kijiweni. Au kwa kuwa ni CDM ndo unawaambia hawana kazi wala miradi. Acha unazi bana.

Ritz ni kilaza anyeamini kuw ani kichwa huko uswazi kwao.Hajaona kuwa maandamano ya CDM huwa na magari na pikipiki kibao zikiwa na bendera za chama huku wakipiga "peoples power kwa sauti kubwa", sasa hao wakaa vijiweni au wapewa viroba wangeweza pata wapi haya?Na hili la kuandamana kwa pikipiki na magari kumeanza tangu toyo hazijaja.

Huyu kila za hajaenda tunduma na mwanjelwa akaona wanaoshabikia CDM ni wafanya biashara wenye mitaji ya Billions na si njaa kali.Ndio maana hakuna umwagaji damu na fujo ni pale tu wanapochapa wadhaifu mawe wanakwenda chafu hali ya hewa Tunduma.
 
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia. Binafsi najua mji wa arusha unaweza kuwa wa kwanza kwa matukio ya uhalifu , so LEMA lazima atakuwa na marafiki wengi sana wanaotaka kujificha kupitia yeye na kwa maana hiyo wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana katika kufanya fujo na ikaonekana kuwa anashangiliwa LEMA.

Tatizo ni kuwa na roho ya kwa nii Lema na siyo mimi nang'atuka mwanagamba! Lema ni mwanamageuzi wa kweli Arusha na nchi nzima. Ni mfano wa kuigwa kwa vijana. Sasa wewe unabwabwaja kama kuku mwenye kideli! Kijana badilika nenda na wakati na kuwa na uamuzi mgumu wa kujua kwa nini wanaArusha wanamlilia Lema.

Shutuma zote zitolewazo dhidi ya Lema ni propaganda tu. Siasa chafu. Rais Zuma kamzoom Malema kwa kumfungulia kesi mahakamani isiyo na mashiko yoyote kama alivyofanyiwa Lema, zaidi ya kuwa na sababu za kisiasa. Kwa hiyo Lema na Malema wamekuwa politically zoomed na kuwa great icons of politics in Tanzania and South Africa.
 
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.

Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.

Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.

Ritz sikuwahi kufikiri kama unaweza kuwa na mawazo kama haya.....unatufahamu vijana wa Arusha vizuri kweli....? what if nikikwambia tulipata ruksa kutoka kwa waajiri....au tulikuwa nao huko...? au tulikuwa na wateja wetu huko biashara tutafanya bdae....? unatambua shughuli muhimu zinazofanywa kwa wingi na vijana wengi wa Arusha...? nijibu kwanza ndio tuendelee....
 
Last edited by a moderator:
Makosa yepi sasa wakati waislam wanasema wazi mtaa wa bondeni, kaloleni, bondeni etc?CCM ndio waasisi wa udini na wazee wa Dar wapo wazi kuwa wao ndio walianzisha TANU na kumkaribisha Nyerere, na ilifika mahali Nyerere akawa anafunga na kufuturu nao ili afanane nao?Hujasikia hayo?Hujasikia ukanda toka matamko makubwa kule Kibaha?NA mwan amafalme alisema hayo?

Uislam na CUF na CCM si jambo la kuuliza kwa wazee wa chama wa mikoa yote walipo mjini.

CDM hawajawahi tangaza sera kama hiyo na hakuna wafanyapo kwa vitendo.ndio maana wahanga wake makubwa utakuta kuna waislam wengi.CDM hawana Kampeni za makanisa wala misikiti.Sasa hivi CCM wameamua kuingilia hadi makanisa ili kupata kura kwa minajili ya kidini,Rostam anakwenda honga wanakwaya, sasa hivi radio iman wanatangaza wazi CDM wakiingia itaani nao(waislam) wataingia kupambana nao.CUF wanaingia na "muislam" anayejidai kuwa mchungaji halafu wanaweka Sheikh wa kweli.

Mkuu hata huku Kimara kuna makanisa jirani na kwa rafiki yangu wanasema wazi chama chetu ni Chadema, wanasema eti Chadema kuna Wachungaji pamoja na Padri ndio kimbilio lao. mie niliwasikiliza nikaamua kuwapuuza tu.
 
Samahani tu mkuu wangu labda tu ungeniambia na wewe unayeshinda hapa JF huna kazi/ajira? au hapa ndio upo kazini?

Mie popote ninapokwenda nina Access ya Internet, nikiwa ofisi natumia Desktop Computer Apple, nikiwa nyumbani natumia Laptop DELL XPS, nikiwa mtaani kwetu kwenye vijiwe vyangu vya kahawa natumia iPhone.
 
Mkuu hata huku Kimara kuna makanisa jirani na kwa rafiki yangu wanasema wazi chama chetu ni Chadema, wanasema eti Chadema kuna Wachungaji pamoja na Padri ndio kimbilio lao. mie niliwasikiliza nikaamua kuwapuuza tu.

Kwa hiyo unataka fananisha haya na kauli za CUF na CCM kwa waislam,Wazee wa Dar(wakiislam wanaodai TANU ilianzishwa na uislam) walio na session maalumu na kila raisi wa CCM aingiaye.Sidhani Kama CDM walishawahi bembelezana na dini yoyote na kupeana ahadi kwa minajili ya kidini?Kama sijui mahakama ya kadhi,kuwawekea baraza Bakwata ila si kuwawekea maraza la Maaskofu.walichoweza ni kuweka mamluki makanisa dhaifu sana.

Kwa ujumla CDM ndio chama kisichoenda enda mbali ktk minajili ya dini zaidi ya kuwapa heshima zao, kuwakaribisha ili kuweka baraka kwa watu wote.

Kwa hiyo unataka nipuuze hayo yote pamoja na uamsho?
 
Ritz sikuwahi kufikiri kama unaweza kuwa na mawazo kama haya.....unatufahamu vijana wa Arusha vizuri kweli....? what if nikikwambia tulipata ruksa kutoka kwa waajiri....au tulikuwa nao huko...? au tulikuwa na wateja wetu huko biashara tutafanya bdae....? unatambua shughuli muhimu zinazofanywa kwa wingi na vijana wengi wa Arusha...? nijibu kwanza ndio tuendelee....

Preta,
Tatizo la ajira kwa vijana ni la Tanzania nzima sio Arusha tu, Arusha naijua vizuri kuna vijana wapo wanafanya vizuri lakini sio wote, vijana Arusha wengine wapo migodini wengine mbugani wengine biashara za magari na wengine wapo mitaani ambao ndio waliojaa pale mahakama kuu.
 
Watu wanazi wanafunga kazi zao weye.Hacha upuuzi... Ara watu wanajighramia kila kitu kwa mambo mengi.wazee huenda cheza mechi mikoani huku kila mtu akijilipia gharama zake.Walio na njaa hawawei enda mahakamani.Ninano watu wengi tuu husnga kazi zao na kwenda makahakamani.Na huwa nawapigia simu ili kupata update.
 
Preta,
Tatizo la ajira kwa vijana ni la Tanzania nzima sio Arusha tu, Arusha naijua vizuri kuna vijana wapo wanafanya vizuri lakini sio wote, vijana Arusha wengine wapo migodini wengine mbugani wengine biashara za magari na wengine wapo mitaani ambao ndio waliojaa pale mahakama kuu.

basi mkuu Ritz....mimi nilikuwa mahakamani na niliondoka pamoja na wafanyakazi wenzangu.....na nilipata ruksa toka kwa mkoloni....ambaye anajua maana ya ukombozi ni nini......
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unataka fananisha haya na kauli za CUF na CCM kwa waislam,Wazee wa Dar(wakiislam wanaodai TANU ilianzishwa na uislam) walio na session maalumu na kila raisi wa CCM aingiaye.Sidhani Kama CDM walishawahi bembelezana na dini yoyote na kupeana ahadi kwa minajili ya kidini?Kama sijui mahakama ya kadhi,kuwawekea baraza Bakwata ila si kuwawekea maraza la Maaskofu.walichoweza ni kuweka mamluki makanisa dhaifu sana.

Kwa ujumla CDM ndio chama kisichoenda enda mbali ktk minajili ya dini zaidi ya kuwapa heshima zao, kuwakaribisha ili kuweka baraka kwa watu wote.

Kwa hiyo unataka nipuuze hayo yote pamoja na uamsho?

Mkuu usitake tuanze kufunga zaidi.
 
basi mkuu Ritz....mimi nilikuwa mahakamani na niliondoka pamoja na wafanyakazi wenzangu.....na nilipata ruksa toka kwa mkoloni....ambaye anajua maana ya ukombozi ni nini......

Nimekupata Preta, tupo pamoja.
 
Last edited by a moderator:
basi mkuu Ritz....mimi nilikuwa mahakamani na niliondoka pamoja na wafanyakazi wenzangu.....na nilipata ruksa toka kwa mkoloni....ambaye anajua maana ya ukombozi ni nini......

Mwambie huyo kimeo..hata mimi nikiwa arusha huwa najitahidi sana fika ktk matukio ya CDM.Na huwa napata time kuchati na professionals kibao ,pia na polis iwaliofunguka akili ambao wote huwa wapo very secure and happy.Tunapata muda wa kuongea proffessions zetu pakiw ana break, kusocialize pia kutaniana hata vitambi, na mambo mengine.Tunashangaa amani ya CCM ni ipi hiyo wanayoiongelea.

Kwa ujumla ni watu wenye staha zao.Labda tuu mkaribishe siku moja kajionee mwenyewe siku CDM wakiwa karibu na alipo.Hizi lugha zitabadilika sana.Wana CCM wenye hu feel secure zaidi ktk mikutano ya CDM kuliko hata ya CCM ambao kila mara huchapana hata offisini kwao.

Hakuna tofauti na habari ya wapalestina wakweli wanoapenda usemi "ni bora kwenda hospitali ya waisraeli kilometer kumi kuliko ya wapalestiina mita 20".Kwani huwa matukio ya magaidi kuingia na silaha na kulazimsiha madaktari wawatibu watu wao au hata kupigana wneyewe kwa wenyewe achilia mbali uduni wa huduma ni vitu vy akawaida sana.
 
Mkuu usitake tuanze kufunga zaidi.

Kufunga ni ahaki yako sasa ya nini unataka nitisha nayo?Kawaulize CCM wamepata wapi uhalali wa kuwawekea waislam Bakwata na kulinda waliowaweka kam si kulinda maslahi la kundi fulani la waislam wenye CCM na TANU yao?Wamepata ridhaa ya kutangaza udini,ukabila na ukanda kila wanedapo, kuitomoa matundu amani yetu kila wasimamapo majukwaani.hakuna mwana CCM asimamaye jukwaa asichokoneo hivi.Hata Rais hutuba yake ilitoboa haya yote kwa njia ya kupotosha kabisa.

Kuna uahalali zaidi ya kuwaweka CCM na CUF katk list ya vyama vya kidini kuliko CDM.
 
Back
Top Bottom