Adhabu stahili kwao ni bomu la tumbo!!au siyo?mshtue kamuhanda kuna watu wanaandamana Arusha!! Wahi chap ngogwe mkubwa wee.View attachment 65555
View attachment 65559
View attachment 65560
Hivi hawa wote wamepata wapi kibari cha kuandamana..! Huu si ndo wanaousema ukiukaji wa sheria? Haya bana yetu macho tu.
Hiii ndio Chuga ..mamamamake, nipigeni tu BAN ka vip. Ila RChuga mnatishaaaaaaa!! Ngome ipo salama.
Kicheko!I love this!maelezo ya nini, kusoma hujui, hata picha huoni? Vua hyo miwani ya mbao (gamba) utaona.