Lema ni kiboko ya CCM Arusha, msafara wake toka Mahakamani leo umethibitisha bado ni hatari kwao

Gari ilisukumwa toka mahakamani mpaka ngarenaro via barabara kuu.

Pima hiyo distance afu useme mwenyewe.

Arusha CDM ni kama Dini. Go Lema Goooo...
 
Lol!!hivi Tendwa,PoliceCCm Magamba,Said Mwema,Paul Chagonja,Emanuel nchimbi hawaoni hapa palivyokuwa shwari watu kibao maelfu na maelfu wakimsindikiza Kamanda bila ya zogo lolote yaani hakuna hata inzi,kuku,bata waliokufa yaani ilikuwa amani ya kupitiliza.Sasa wale Magamba waliosema kuwa Chadema ni watu wa fujo mbona hapo hakuna uvunjifu wa amani uliotokea??Jamani tuwe wakweli Magamba yanafahamu kuwa Chadema hawana zogo sema tu PoliceCCm na Magamba wao ndio wanaanzisha zogo na kuua watu wasio kuwa hata na kisu wala viwembe Lol!!
 
hahaha hapo magamba gogo linawatoka linagonga chupi linarudi inside full ku fart
 
Arusha chadema wote hawa wahuni wa ccm hakuna kitu watapita wapi achuga aaaah.
 
daah bonge la shazi, naamini tarehe 2.10 nitakuwa mmoja wao...
 
ukitaka kuijua arachuga na LEMA wewe siku ya rufaa tia timu utaona mambo yake,hapatatosha........
 
Lema, lema, lemaaaa, mimi apo skosagi toka ile siku tumetoka na lema nmc hadi arusha anex tukatawanywa na mabomu,. Daaa lema nani kama lema arusha kaifanya ccm ionekane toilet pepa iliyotumika apa arusha, huwa hawaonekanagi ccm apa.
 
Ndo maana hata baba wa taifa alipeleka azimio uko arusha miaka ya 1960s,watu wamefunguka kitambo.Viva viva R.chuga
 
Huu umati ndio umemtisha jaji Chande hadi kutaka kuihamishia kesi hii dar es salaam. Ametambua uzito na gharama ya hukumu iliyochakachuliwa anayotaka kuitoa.
 
Limitations live only in our minds but if we use our imaginations our possibilities become limitless haraaaa chuga!
 
R chuga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!
Chezea nguvu ya uma wewe!
 
Back
Top Bottom