Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

"John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema..."

'Nough said [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Mangi tupu hapo, huna chako mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Chadema imekosa dira, Chadema imekosa mwelekeo, Chadema imekosa mvuto, Chadema haina ushawishi tena. Sababu ni hizi;
1.Chama kimekuwa ni mradi wa uchumi kwa mwenyekiti na maswahiba wake na kuacha malengo ya waasis wake akina Mtei
2.Chadema imevamiwa na wau wasio na maono ya siasa za kushika dola zaidi ya kujipatia umaarufu kutokana na makelele wanayopiga mtaani
3.Chadema imekuwa maficho ya wale wote wanahisi wana hatia na wanaweza kuitwa warutumiwa wa makosa mbalimbali katika nchi hii
4.Chadema imekumbatia watu waliofilisika kisiasa wakiwa chama tawala, na walipogundua kuwa wamefilisika walikimbilia chadema angalau waendelee kutajwa kwenye media
5.Chadema haina mipango ya kujijenga zaidi ya kukusanya ruzuku na kuzitia mifukoni mwa matumbo ya viongozi
6. Chadema ina jina la kuwa chama cha siasa lakini kimsingi ni wanaharakati wasio na mipango yoyote kisiasa
7. Chadema ina jina la chama cha demokrasia lakini ndani yake hakuna demokrasia hata chembe.
8. Chadema in harufu kubwa ya ukabila hasa inamilikiwa na watu wa arusha na kilimanjaro
9. Mwenye kiti wa chdema amefanya chama ni mali yake binafsi aliyorithi kutoka kwa ndugu zake
 
Mngetenga mabilioni ya walipa kodi na bunduki ili kuiangamiza Chadema? Hivi unatumia kinyeo au kiungo gani kufikiri wewe mbwiga?
 
Chadema imekosa dira, Chadema imekosa mwelekeo, Chadema imekosa mvuto, Chadema haina ushawishi tena. Sababu ni hizi;
1.Chama kimekuwa ni mradi wa uchumi kwa mwenyekiti na maswahiba wake na kuacha malengo ya waasis wake akina Mtei
2.Chadema imevamiwa na wau wasio na maono ya siasa za kushika dola zaidi ya kujipatia umaarufu kutokana na makelele wanayopiga mtaani
3.Chadema imekuwa maficho ya wale wote wanahisi wana hatia na wanaweza kuitwa warutumiwa wa makosa mbalimbali katika nchi hii
4.Chadema imekumbatia watu waliofilisika kisiasa wakiwa chama tawala, na walipogundua kuwa wamefilisika walikimbilia chadema angalau waendelee kutajwa kwenye media
5.Chadema haina mipango ya kujijenga zaidi ya kukusanya ruzuku na kuzitia mifukoni mwa matumbo ya viongozi
6. Chadema ina jina la kuwa chama cha siasa lakini kimsingi ni wanaharakati wasio na mipango yoyote kisiasa
7. Chadema ina jina la chama cha demokrasia lakini ndani yake hakuna demokrasia hata chembe.
8. Chadema in harufu kubwa ya ukabila hasa inamilikiwa na watu wa arusha na kilimanjaro
9. Mwenye kiti wa chdema amefanya chama ni mali yake binafsi aliyorithi kutoka kwa ndugu zake

Litania ndeeefu, ndani pumba tupu. Nawe una frastureshens kama bosi wako?
 
Wameanza kupigana wenyewe sasa ndani ya pulizo, wengine wana sindano ma wengine mapanga!!
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
WEWE BEN MRAMBA NI BWEGE TUU NA HUNA LOLOTE,,NA USHAURI WAKO NI MAVI KABISA KWA CHADEMA..KWANI UMEKOSA WA KUWASHAURI WEWE BWEGEEE
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Eti wewe ndiye unajifanya mshauri wa Chadema.
CHADEMA, mchungeni Mwenyekiti Mbowe

Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA
 
Benson naona unawehuka, we ulikuja humu jukwaani kututaarifu kuwa umeachana na chadema kwa sababu ya watu hawa watatu unaowatuhumu,Kwa nini usihangaike na malaika wa Lumumba,kutwa kuchwa unahangaika na Chadema wakati umeshajitoa?Au inakuuma kusikia wenzio wamesajiliwa na 1.6B wakati wewe umeenda kwa buku 7?Punguza hasira dogo buku 7 ndiyo thamani yako kulingana na kiwango chako kisiasa.Tafuta strategy mpya ya kushambulia Chadema hii imebuma otherwise hata hiyo buku 7 wataacha kukulipa.
 
Ndio CCM ni wajinga lakini sio kwa kiwango cha kuzoa makarai kama wewe.
mimi binafsi simuamini Mbowe kabisa linapokuja swala la fedha. Na kwa yowe hili analolipiga sasa inaonyesha kabanwa mahali. Wito wangu wanachama na viongozi mchungeni Mwenyekiti wenu asije kutusaliti tena watanzania. Ukiona mtu mzima Analia ujue kuna jambo
.
 
Uzuri Chadema ni taasisi yani Lema ,Mbowe ni watenda kazi tu kama wengine wanaweza kung'oka au kung'olewa na wakaendelea wengine na taasisi ikaendelea vizuri ndomana toka chama kimetabiliwa kitakufa mpaka leo bado kipo hai kuna vijana wapo wanauwezo kuliko hata hao ulowataja na wanasubiri muda wowote watoke nao washike usukani..hakuna mtu bora zaidi ya mwenzie
 
hahahahaha eti Mbowe anaweza kuondoka kama wengine hahahaha.......Mbowe ndiye mwenye chama hahaha hakuna wakumuondoa acha kuwadanganya watu
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Nni kakuambiaaa wewe mkuuu achaa umbea imekuwa bashite na kikundii chakeee na the mutus
 
Back
Top Bottom