Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
 
Ni Lema huyu huyu ndio ali-tweet kwa mara ya kwanza kuwa kuna madiwani wa CHADEMA watanunilliwa na baadae ikawa hivyo.

Acha unafiki wewe si mwana-CHADEMA.

sawa, swali kwa nini wananunuliwa, wanaondoka, wanabadili itikadi??

tatizo ni Lema!! sasa unaficha moshi wkati moto unawaka?? zima moto mkuu, chadema hii si ya 2014, si ya 2009.........kuna tatizo mahali

au ni wakati gani huwa unachukulia tatizo serious mpaka kulipigia kelele?

mtu ambaye anakuw royal kwa chama ata wanapokosea viongozi wao anakuwa sawa na mbwa kama yule wa nassari
 
Kama iliondoka chadema inakuwaje sasa uitakie mema? Si uliondoka ukiamini inakufa sasa ikifa inakuuma nini?
 
Hivi una undugu na Pesambili Mramba aliyefungwa cha nje na adhabu ya kufagia zahanati???

Kwanini hamsemi mkiwa ndani mnaenda payuka huko mkiasi???
 
"John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema..."

'Nough said [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
sawa, swali kwa nini wananunuliwa, wanaondoka, wanabadili itikadi??

tatizo ni Lema!! sasa unaficha moshi wkati moto unawaka?? zima moto mkuu, chadema hii si ya 2014, si ya 2009.........kuna tatizo mahali

au ni wakati gani huwa unachukulia tatizo serious mpaka kulipigia kelele?

mtu ambaye anakuw royal kwa chama ata wanapokosea viongozi wao anakuwa sawa na mbwa kama yule wa nassari
Wewe ni mmoja wa madalili wa hii biashara ya utumwa huna lolote.

Mko very primitive!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ramli ya kufa kwa Chadema mliianza siku nyingi sana lakini Chadema bado ipo tu na ni tishio kubwa kwa chama cha wahuni, wauaji na mafisadi.

Tafuteni kingine cha maana cha kupigia ramli, Chadema kimo mioyoni mwa Watanzania walio wengi hizo ramli zenu uchwara hamishieni kwa uchwara.

Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.

Wewe si ulishatoka Chadema sasa mambo ya huku yanakuhusu nini? Hangaika na hali yako dogo.
 
usihofu Mkuu Vyama vya upinzani huzaliwa na kufa,lakini upinzani daima upo siku zote! utahamia chama kingine cha upinzani
 
Back
Top Bottom