Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Benson naona unawehuka, we ulikuja humu jukwaani kututaarifu kuwa umeachana na chadema kwa sababu ya watu hawa watatu unaowatuhumu,Kwa nini usihangaike na malaika wa Lumumba,kutwa kuchwa unahangaika na Chadema wakati umeshajitoa?Au inakuuma kusikia wenzio wamesajiliwa na 1.6B wakati wewe umeenda kwa buku 7?Punguza hasira dogo buku 7 ndiyo thamani yako kulingana na kiwango chako kisiasa.Tafuta strategy mpya ya kushambulia Chadema hii imebuma otherwise hata hiyo buku 7 wataacha kukulipa.
Usikute kaondoka na mimba hapo Chadema.
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Hayo yooooote,umesema wewe.!!
 
leo ndo unajua huyo jamaa anaitwa Lema ndo chanzo cha mifarakano CDM KUANZIA ZITTO KAFULILA kwa kisingizio cha usaliti wa chama huku MBOWE akimsikiliza na kumweka mbele kwenye vikao vya chama
 
sawa, swali kwa nini wananunuliwa, wanaondoka, wanabadili itikadi??

tatizo ni Lema!! sasa unaficha moshi wkati moto unawaka?? zima moto mkuu, chadema hii si ya 2014, si ya 2009.........kuna tatizo mahali

au ni wakati gani huwa unachukulia tatizo serious mpaka kulipigia kelele?

mtu ambaye anakuw royal kwa chama ata wanapokosea viongozi wao anakuwa sawa na mbwa kama yule wa nassari
royal=loyal
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Kuna thread ulianzisha kuwa umekuwa mwanachama mfu, sasa unalalamika kabla hujasema ni lini umekuwa mwanachama aliyefufuka!
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
wewe uliamua kuwa mwana chadema MFU toka july ,uemona sasa hivi wenzako wanakula mpunga mrefu unajifanya ku attack tena,ulifanya bad timing
 
Lema hataki mtu mwingine awe maarufu. Amewafitini Mnyika na Kubenea hadi wameanza kunuka.

Wacha waparaganyike, ruzuku yote nusu ya Mamvi na salio wanagawana wachonganishi huku chama chao hakijengwi.

CDM kwisha jeuri yake.
 
sawa, swali kwa nini wananunuliwa, wanaondoka, wanabadili itikadi??

tatizo ni Lema!! sasa unaficha moshi wkati moto unawaka?? zima moto mkuu, chadema hii si ya 2014, si ya 2009.........kuna tatizo mahali

au ni wakati gani huwa unachukulia tatizo serious mpaka kulipigia kelele?

mtu ambaye anakuw royal kwa chama ata wanapokosea viongozi wao anakuwa sawa na mbwa kama yule wa nassari
Wakirudi kwenye hatua zile utasema sio chama cha siasa ni wahuni,wakiwa hivyo unasema Chadema ilikuwa ya 2009 mzee vp
 
Benson naona unawehuka, we ulikuja humu jukwaani kututaarifu kuwa umeachana na chadema kwa sababu ya watu hawa watatu unaowatuhumu,Kwa nini usihangaike na malaika wa Lumumba,kutwa kuchwa unahangaika na Chadema wakati umeshajitoa?Au inakuuma kusikia wenzio wamesajiliwa na 1.6B wakati wewe umeenda kwa buku 7?Punguza hasira dogo buku 7 ndiyo thamani yako kulingana na kiwango chako kisiasa.Tafuta strategy mpya ya kushambulia Chadema hii imebuma otherwise hata hiyo buku 7 wataacha kukulipa.
Nadharia hafifu
 
Mnatoa kauli kulaani yanayoendelea Libya huku kwenu mnafanya biashara hiyo hiyo ya kununua watu! Au kwa vile huku mnanunua wavaa suti?
na nyie mmezidi kuwa bei rahisi...mnapambana halafu mwenyekiti anakula ruzuku peke yake...kimbieni au komaeni angalau mnunuliwe tu...mtaishia kuvaa gwanda plus njaa kali
 
Kwan lema kamtaja kubenea??

Lema,Msigwa na Nasari.......watakiua chama

Ile post (tweet) ya jana ya Lema haikuwa ya ki weledi! Vikao vya chama ni muhimu kujadili mambo ya msingi kama hayo, sio Heche ahemke kivyake, kulia Lema, kushoto Msigwa, kaskazini Nasari, mashariki sijui nani!!!! Yawezekana Mwenyekiti wao ana entertain ubuyu, wao wamemsoma na wanapita mle mle!!!!
 
Back
Top Bottom