Kweka,Munisi,Mrema,Shio,Lauwo!"John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema..."
'Nough said [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Magwanda yenye mifuko ya tumboni.na nyie mmezidi kuwa bei rahisi...mnapambana halafu mwenyekiti anakula ruzuku peke yake...kimbieni au komaeni angalau mnunuliwe tu...mtaishia kuvaa gwanda plus njaa kali
Chadema kitakufa coz chama kimeendekeza NJAANi Lema huyu huyu ndio ali-tweet kwa mara ya kwanza kuwa kuna madiwani wa CHADEMA watanunilliwa na baadae ikawa hivyo.
Acha unafiki wewe si mwana-CHADEMA.
Wakirudi kwenye hatua zile utasema sio chama cha siasa ni wahuni,wakiwa hivyo unasema Chadema ilikuwa ya 2009 mzee vp
Watumwa wengi wameshajiweka sokoniVipi biashara ya utumwa inaendaje?
Faiza Foxy wa kiingeledharoyal=loyal
Pambana na hali yako dogo achana na Chadema, ungetulia sasa hivi ungenunuliwa kwa bei nzuri ,sasa komaa tu na bk7 yako.Nadharia hafifu
Biashara ya utumwa + mapanga= ushindi wa kisayansi in sisiem voice!!!!Inalipa sana kati ya kata 43...42 zote tumebeba.
Endeleeni kutafuta mchawi
Ni mjinga peke yake anaweza kuamini ujinga huu kutoka kwa watu wajinga. Hakuna, narudia HAKUNA, mbunge kutoka upinzani anayeweza kuhamia CCM akaacha mafao yake, lakini mbunge anayependa haki na mwenye roho wa Mungu kweli kweli, anaweza kuachana na ubunge kama mwanaCCM na kujinga na upinzani! Kwa hiyo hoja kwamba kuna wabunge wanaweza kutoka upinzani kwenda CCM kufuata itikadi ni mfu, kwanza pamoja na makandokando mengi tu CCM hakina itikadi so far ambayo mwanasiasa anayejitambua anaweza kuifuata! Currently, CCM ni ya Magufuli, sasa hawa wanasiasa wanamfuata Magufuli, siyo? Ni aibu mambo mengine hata kuyajadili!sawa, swali kwa nini wananunuliwa, wanaondoka, wanabadili itikadi??
tatizo ni Lema!! sasa unaficha moshi wkati moto unawaka?? zima moto mkuu, chadema hii si ya 2014, si ya 2009.........kuna tatizo mahali
au ni wakati gani huwa unachukulia tatizo serious mpaka kulipigia kelele?
mtu ambaye anakuw royal kwa chama ata wanapokosea viongozi wao anakuwa sawa na mbwa kama yule wa nassari
Na wewe na wenzio kina Chakaza ndio mnawapa kichwa kina LemaNi Lema huyu huyu ndio ali-tweet kwa mara ya kwanza kuwa kuna madiwani wa CHADEMA watanunilliwa na baadae ikawa hivyo.
Acha unafiki wewe si mwana-CHADEMA.
Sikujua kama chadema ni mboga kiasi hiki!Mnatoa kauli kulaani yanayoendelea Libya huku kwenu mnafanya biashara hiyo hiyo ya kununua watu! Au kwa vile huku mnanunua wavaa suti?
Mkuu, huwa tunasema zamani babu zetu hawakusoma ndio maana walinunuliwa, lkn vipi kwa hawa wanachadema? Kumbe hata tungewapa nchi bado mzungu angeweza kuwanunua kwa bei chee kabisa?Madalali wa biashara ya utumwa-Watu primitive kabisa nyie ingawa mnavaa suti na tai.
Mmelaniwa mbinguni na duniani.
Karne ya 21 bado mnafikiri kufanya biashara ya utmwa!!
Akili ya hovyo kabisa hii!!
Cdm wauzaji sisiem wanunuzi,,Bidhaa zipo sokoni halafu usizinunue, una akili kweli?
Wewe si ulisema tatizo ni mbowe leo tena imekuwa lema???Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.
Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.
Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Mnada freshi.Cdm wauzaji sisiem wanunuzi,,
Wananunulika kwa bei ya iliki[emoji28] [emoji28]Mnada freshi.
Newton 1st law of motion inakataa dhana yakoKwani jamaa si alishahama chama? Anakumbuka matapishi aliyoyatapika anataka kuyala? Haoni kichefuchefu? Let's build our Tanzania kwa Siasa safi bhana. Mzee nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji vitu3 navyo ni watu, ardhi na Siasa safi. Sasa sijui kama hii ya kuhama hama kisha unaanza kusema vibaya ndo safi au!!!!! Kama uliona kuna jambo linaendelea ungepiga kelele ndani wakikuchukia wakugukuze.