SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Kama ilivyokuwa kwa Kolimba?ukiwa ndani wanakuua, acha ujinga wa kutojua mafia wanafanyaje kazi
Kama ilivyokuwa kwa Kolimba?ukiwa ndani wanakuua, acha ujinga wa kutojua mafia wanafanyaje kazi
Zitto alisema siku nyingi mno kuwa lema ni my was hivyo Sana,watu wakapinga sasa wanayaonaNimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.
Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.
Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
vipi biashara ya kununua watumwa inaendeleaje?Chadema imekosa dira, Chadema imekosa mwelekeo, Chadema imekosa mvuto, Chadema haina ushawishi tena. Sababu ni hizi;
1.Chama kimekuwa ni mradi wa uchumi kwa mwenyekiti na maswahiba wake na kuacha malengo ya waasis wake akina Mtei
2.Chadema imevamiwa na wau wasio na maono ya siasa za kushika dola zaidi ya kujipatia umaarufu kutokana na makelele wanayopiga mtaani
3.Chadema imekuwa maficho ya wale wote wanahisi wana hatia na wanaweza kuitwa warutumiwa wa makosa mbalimbali katika nchi hii
4.Chadema imekumbatia watu waliofilisika kisiasa wakiwa chama tawala, na walipogundua kuwa wamefilisika walikimbilia chadema angalau waendelee kutajwa kwenye media
5.Chadema haina mipango ya kujijenga zaidi ya kukusanya ruzuku na kuzitia mifukoni mwa matumbo ya viongozi
6. Chadema ina jina la kuwa chama cha siasa lakini kimsingi ni wanaharakati wasio na mipango yoyote kisiasa
7. Chadema ina jina la chama cha demokrasia lakini ndani yake hakuna demokrasia hata chembe.
8. Chadema in harufu kubwa ya ukabila hasa inamilikiwa na watu wa arusha na kilimanjaro
9. Mwenye kiti wa chdema amefanya chama ni mali yake binafsi aliyorithi kutoka kwa ndugu zake
Hahaha... Kumbe mnanunulika?vipi biashara ya kununua watumwa inaendeleaje?
Hii kauli nenda kamwambie zzk afu uone atakachokujibu,kwani chacha wangwe alipenda kupata ajali ile!kama hakuna unachokijua tuliza karai lako usubiri ghorofa jingine lijengwe utumikeAkili zako ndo zilipoishia Mbowe hana hatimiliki na Chadema ni kamanda mtiifu tu wa chama Chadema hakuna watu miungu kama mnavyomuabudu mwenyekiti wenu utadhani mfarisayo..
Labda nikwambie wewe utulive puru hilo unapokuja kuni quote kama hujui nilichokimaanisha mana ni sawa na kupiga msamba katikati ya mfereji wa maji machafu huku uwazi wako ukiwa wazi.Hii kauli nenda kamwambie zzk afu uone atakachokujibu,kwani chacha wangwe alipenda kupata ajali ile!kama hakuna unachokijua tuliza karai lako usubiri ghorofa jingine lijengwe utumike
Ndio tabu ya chama kikiwapa kipaumbele wavuta bangi mpaka 2020 hakuna chama.Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.
Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.
Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Huwa unavuta nao Bangi?Ndio tabu ya chama kikiwapa kipaumbele wavuta bangi mpaka 2020 hakuna chama.
Haulaumiwi kuwa gizani fuatilia ukipata jibu kaa nalo sikulazimishi unielewe.Huwa unavuta nao Bangi?
Wewe CDM ulishatoka, ya huku tuachie wenyewe sie CDM.Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.
Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.
Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
umesema wewe cntKama ilivyokuwa kwa Kolimba?
Nyamaza wewe jingalaCCMChama kinaendeshwa kama saccoss