Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Lema na wenzie ndio watakaoiua CHADEMA

Bado cjafufuka! Natimiza wajibu wa mwanachama mfu!
Mwanachama mfu ana wajibu gani? Katiba ya chama chako inasemaje kuhusu wafu kama nyie? Wafu kwenye chama chenu wana wajibu gani kikatiba?
 
Na huko upande wa pili wa barabara ni nani atakayenanihino?
 
Uzuri Chadema ni taasisi yani Lema ,Mbowe ni watenda kazi tu kama wengine wanaweza kung'oka au kung'olewa na wakaendelea wengine na taasisi ikaendelea vizuri ndomana toka chama kimetabiliwa kitakufa mpaka leo bado kipo hai kuna vijana wapo wanauwezo kuliko hata hao ulowataja na wanasubiri muda wowote watoke nao washike usukani..hakuna mtu bora zaidi ya mwenzie
Wanasubiri Mbowe afe ndo wang'ang'anie urithi. Hafi Leo wa kesho, mtasubiri sana. wenye akili wamestuka wanasepa.
 
BAV
Mngetenga mabilioni ya walipa kodi na bunduki ili kuiangamiza Chadema? Hivi unatumia kinyeo au kiungo gani kufikiri wewe mbwiga?
BAVICHA MMEJAA MATUSI NDIO KIWANGO CHA JUU KABISA CHA KUCHANGANYIKIWA. CHADEMA BANGE
 
Narudia tena kupitia uzi huu..chadema ni kundi la kihuni
 
Mashabiki wa Magufuli mna maana Tanzania tuna chama cha upinzani kimoja tu - CHADEMA? Mbona vingine hamviwekei ajenda? Halafu CHADEMA si kilishakufa tangu aondoke Slaa? What’s the noise all about now? Au ndio mmeamua kumjenga Mbowe kiaina?
 
Wajibu kwa Taifa langu
Aah wapi! Wajibu kwa Taifa ndo kuwa mwanachama mfu wa chadema? Kwanza nyie Mramba nina wasiwasi na wewe. Mramba kwao ni ccm na wamefanya ufisadi hadi kusabaisha wachagga waonekane wote kama yeye.
 
Hivi una undugu na Pesambili Mramba aliyefungwa cha nje na adhabu ya kufagia zahanati???

Kwanini hamsemi mkiwa ndani mnaenda payuka huko mkiasi???

ukiwa ndani wanakuua, acha ujinga wa kutojua mafia wanafanyaje kazi
 
Mbowe asipommanage Lema na wenzake basi ajiandae kuendelea kukiua chama!
 
Nimekuwa nikiandika hapa mara kwa mara kuwa kuna kikundi cha majungu cha watu watatu ndani ya Chadema yaani John Mrema, Reginald Munisi na Mh Godbless Lema ambacho kazi yake ni kumdanganya, kumfitinisha na kumtia hofu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe ili kujinufaisha na Chama.

Mara zote nimekuwa naonekana nimenunuliwa na Makamanda. Namshukuru Mungu angalau na Wabunge wameanza kuvunja ukimya.Nampongeza sana Mh. Kubenea kwa kumtaja Lema hadharani. Narudia tena Wanachama na Viongozi wa Mikoa, Wilaya na ngazi zote msipowadhibiti hawa Chama kitakufa asubuhi.

Mh. Mbowe ukiendelea kuwasikiliza hawa utagombana na kila mtu wa maana utabaki na wajinga na mwisho wa siku watakukimbia hawa mambo yakikuharibikia. Nitakupinga siku zote na haka kakikundi chako kwa manufaa ya Taifa.
Acha umalaya wa kisiasa wewe

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
 
hahahahaha eti Mbowe anaweza kuondoka kama wengine hahahaha.......Mbowe ndiye mwenye chama hahaha hakuna wakumuondoa acha kuwadanganya watu
Akili zako ndo zilipoishia Mbowe hana hatimiliki na Chadema ni kamanda mtiifu tu wa chama Chadema hakuna watu miungu kama mnavyomuabudu mwenyekiti wenu utadhani mfarisayo..
 
Back
Top Bottom