Ndugu wana-JF,
Mbunge wa Arusha bwana Lema na wafuasi wake wapatao 100, wameripotiwa kuvamia kituo kidogo cha polisi cha Sombetini, kwa lengo la kushinikiza askari wa kituo hicho kuwaachia huru vijana ambao wamekuwa wakikamatwa na polisi hao mwanzoni mwa wiki hii.
Shinikizo hili la mbunge Lema na wapambe wake ni kufuatia hali ya wasiwasi haliyo ijenga yeye na hao makamanda, eti ya kuwa kuna mpango mahususi wa kudhoofisha mchakato wa uchaguzi hasa ushiriki wa kupiga kura, kwani bwana Lema ana amini vijana hao waliopo rumande ni wafuasi wa CHADEMA hivyo ni lazima wataipigia kura.
My take;
Serikali sasa iamue, kwani haya mambo ya 'kulea lea' matukio ya aina hii hasa yanayo sababishwa na wanasiasa uchwara ambao kimsingi wamefilisika kisiasa, yana weza kuliingiza taifa katika machafuko makubwa.
Kitendo hiki cha CHADEMA na wafuasi wake kuvamia vituo vya polisi si cha kigeni, kwani itakumbukwa walisha wahi kufanya kitendo cha aina hii na kusababisha athari kubwa ikiwemo upotevu wa maisha ya raia wasio na hatia.