Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Ndugu wana-JF,

Mbunge wa Arusha bwana Lema na wafuasi wake wapatao 100, wameripotiwa kuvamia kituo kidogo cha polisi cha Sombetini, kwa lengo la kushinikiza askari wa kituo hicho kuwaachia huru vijana ambao wamekuwa wakikamatwa na polisi hao mwanzoni mwa wiki hii.

Shinikizo hili la mbunge Lema na wapambe wake ni kufuatia hali ya wasiwasi haliyo ijenga yeye na hao makamanda, eti ya kuwa kuna mpango mahususi wa kudhoofisha mchakato wa uchaguzi hasa ushiriki wa kupiga kura, kwani bwana Lema ana amini vijana hao waliopo rumande ni wafuasi wa CHADEMA hivyo ni lazima wataipigia kura.

My take;

Serikali sasa iamue, kwani haya mambo ya 'kulea lea' matukio ya aina hii hasa yanayo sababishwa na wanasiasa uchwara ambao kimsingi wamefilisika kisiasa, yana weza kuliingiza taifa katika machafuko makubwa.

Kitendo hiki cha CHADEMA na wafuasi wake kuvamia vituo vya polisi si cha kigeni, kwani itakumbukwa walisha wahi kufanya kitendo cha aina hii na kusababisha athari kubwa ikiwemo upotevu wa maisha ya raia wasio na hatia.

attachment.php
 
Attachments

  • 8489_510203069033289_1335001515_n.jpg
    8489_510203069033289_1335001515_n.jpg
    50.6 KB · Views: 4,961
Nchi ya ajabu hii. Aliyekata mtu kwa kutumia shoka yupo nje anadunda licha ya POLICCM kutaarifiwa. Ukijulika na wewe ni mshabiki, mpenzi na mwanachama wa CHADEMA kipindi cha kupiga kura basi wewe mahabusu ndio kwako.

Heri yenu maana mmeshajua yatakayo mipata na ndio maana nasikia mnaandaa makao mapya CHINA!!!
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.
 
You've said it all!!! Lema is a troublemaker.
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.
Insanity is a very dangerous psychological sickness. I am sorry for you.
 
We mleta mada majanga yalivyo mengi nchi hii unakosa cha kuandika hadi unaleta upuuzi huu hapa?
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

Uwoga ni dhambi itakayokutafuna wewe mwanamke, mbona kina mwigulu wanatengeneza video za uchochezi na huongei.
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

well your mental acumen is below that of imbeciles! Your mind thinks anticlockwise. If you could get into what Lema is passing through, ungeshakufa! The demons from Dr. Fastjet are trying to haunt him
 
Hizi siasa ni za kingese na zinafanywa ------- kama hawa. Kwa nin mnakuwa na mashaka kama mnakubalika. Mtu akifanya uharifu Asikamatwe.
 
Mkuu upo nchi gani? Polis siku hizh hawatumiki kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao, wao kazi yao ni kuhakikisha wana nyanyasa raia hasa wanaoshabikia upinzani! Ukiwa mpinzani tanzania jiandae kwenda mahabusu. Ccm hawana uwezo tena wa kuwashawishi wananchi!
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

Always Lema is man of action and he speaks truthful data about his country and people developments. Ccm are leading since Independence 50 years, but people of Tz are die poor.
We need changes!
 
Hizi siasa ni za kingese na zinafanywa ------- kama hawa. Kwa nin mnakuwa na mashaka kama mnakubalika. Mtu akifanya uharifu Asikamatwe.

mama hujatukana viziri leo na kesho utatukana sana, tumejipanga
 
Wewe Ndo muongo video tumeiona haijatengenezwa, ipo live bila chenga. Danganya wajinga wenzako.

Ile video ni ya kweli na hata Lwakatare ana lijua hilo.

Haya mambo ya kusema imepandikizwa maneno ni katika kujinasua tu.
 
kilichokuwa kinafanywa na polisi juzi na jana hakikubaliki walikuwa wakikuta vijana wamekusanyika wanapewa kibano kisha wanapelekwa polisi, vina wakakataa uhuni huo wakamubananisha choko moja anaechukua mafunzo kutoka ya kupiga watu kutoka ccp wakamukamu vizuri..polisi tendeni haki arusha itakuwa tulivu hamtaamini lakini mkileta uhuni..hizi siku tatu patachimbika....
 
Acha ufala unafurahia ujinga anao ufanya. Kwanini asitumie taratibu za kawaida kama kuwaombea dhamana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom