Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

lema awe wazir kisa ni mjomba wake na mbowe.teh,teh,teh.mwiz wa magar kuwa wazir na ile kes ya ubakaji vp?

yote hito nihofu ya chadema kuchukua nchi..mwanbie mmeo atengeneze video lema akibaka au kiiba magari...
 
Mara ngapi watu wamevamia vituo vya polisi na kuvichoma moto na kutoa wahalifu ni lema kila mahali?
Kama watu wanakamatwa bila sababu lazima tushinikize kwa pamoja kuukataa mfumo gandamiza haki.
 
lema awe wazir kisa ni mjomba wake na mbowe.teh,teh,teh.mwiz wa magar kuwa wazir na ile kes ya ubakaji vp?

yote hiyo ni hofu ya chadema kuchukua nchi..mwambie mmeo atengeneze video lema akibaka au akiiba magari...
 
Ndugu wana-JF,

Mbunge wa Arusha bwana Lema na wafuasi wake wapatao 100, wameripotiwa kuvamia kituo kidogo cha polisi cha Sombetini, kwa lengo la kushinikiza askari wa kituo hicho kuwaachia huru vijana ambao wamekuwa wakikamatwa na polisi hao mwanzoni mwa wiki hii.

Shinikizo hili la mbunge Lema na wapambe wake ni kufuatia hali ya wasiwasi haliyo ijenga yeye na hao makamanda, eti ya kuwa kuna mpango mahususi wa kudhoofisha mchakato wa uchaguzi hasa ushiriki wa kupiga kura, kwani bwana Lema ana amini vijana hao waliopo rumande ni wafuasi wa CHADEMA hivyo ni lazima wataipigia kura.

My take;

Serikali sasa iamue, kwani haya mambo ya 'kulea lea' matukio ya aina hii hasa yanayo sababishwa na wanasiasa uchwara ambao kimsingi wamefilisika kisiasa, yana weza kuliingiza taifa katika machafuko makubwa.

Kitendo hiki cha CHADEMA na wafuasi wake kuvamia vituo vya polisi si cha kigeni, kwani itakumbukwa walisha wahi kufanya kitendo cha aina hii na kusababisha athari kubwa ikiwemo upotevu wa maisha ya raia wasio na hatia.

attachment.php

kumbe watoto wa lumumba mko weng
 
Kikwete aliwahi kuwaambia ccm waache kutumia polisi kwenye kampeni za uchaguzi hawasikiiii.
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

You have always been against Lema and Chadema, making stupid argument senselessly which I'm sure will change nothing coz nobody can buy this shit!

Our people have been oppressed and harassed by the so called police mbarara in favor of ccm for the coming by election!
You are aware of the ccm mission on this election but because you r a biased can't even realize or even state the fact!

It doesn't need much energy to make some headlines as you've claimed! You can also do the same by posting some shits as this one!
Craaaaaap!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lema atamkumbuka sana jk kwa kuwaambia ma rpc tulieni,vumilieni kila anaeamishiwa arusha,vinginevyo angepata ujira wa udhalimu wake.huu ni uhuni.
 
kilichokuwa kinafanywa na polisi juzi na jana hakikubaliki walikuwa wakikuta vijana wamekusanyika wanapewa kibano kisha wanapelekwa polisi, vina wakakataa uhuni huo wakamubananisha choko moja anaechukua mafunzo kutoka ya kupiga watu kutoka ccp wakamukamu vizuri..polisi tendeni haki arusha itakuwa tulivu hamtaamini lakini mkileta uhuni..hizi siku tatu patachimbika....
na haya ndo madhara ya polisi kuegemea upande moja. acheeen hizo polisi nyie ni chombo huru
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

You must be in menses that is why u think as if ur naked
 
Nilishazungumzia hiki kitendo cha polisi kushika wananchi kipindi cha uchaguzi kwenye sehemu za upinzani,baadhi ya wana jf wakaiponda. Ila ukweli utabaki kuwa huko ni kuwanyima wananchi haki na uhuru wa kuwachagua viongozi wao. Kuna wanajf wanasema lema analeta fujo lakini kwa nini hawasemi serikali inagandamiza haki,uhuru n.k za watanzania? Au ndiyo cha mtu mavi?
 
Chama cha kutetea wahalifu.

Taratibu zipo na zina eleweka, sasa kwanini CHADEMA na wafuasi wake uwa hawazifuati?

Kwanini CHADEMA wana penda kuwa watu wa vurugu tu? nchi gani hapa ulimwenguni ina ongozwa bila miiko?

Hawa wahuni wa CHADEMA wakiachwa watahatarisha amani na hali ya usalama, serikali kupitia mamlaka zake zinazo husika wakidhibiti kwa haraka hiki chama.
 
You have always been against Lema and Chadema, making stupid argument senselessly which I'm sure will change nothing coz nobody can buy this shit!

Our people have been oppressed and harassed by the so called police mbarara in favor of ccm for the coming by election!
You are aware of the ccm mission on this election but because you r a biased can't even realize or even state the fact!

It doesn't need much energy to make some headlines as you've claimed! You can also do the same by posting some shits as this one!
Craaaaaap!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kamanda leo unapaswa kuwa mpole sana na mjanja kama nyoka kwani ninakutegemea sana kwa updates za leo na kesho sasa hawa wahuni wa ccm wanaweza kukusababishia ban halafu ukapotezwa naona umeanza kugafilika asubuhi asubuhi...kumbuka daraja mbili...
 
Nasikia siku hizi baadhi yao wanatembea na vichwa vya binadamu kuwabambikia watu.sijui wanavitoa wapi
 
kwa hiyo jaji alietupilia mbali ni tahira..?

Crashwise hapo ndipo mnapodanganya. Jaji hajatupilia mbali, video bado ni ushahidi ktk kesi hii, alichotupilia mbali ni kosa hili kuitwa la ugaidi bali ni uharifu wa kawaida
 
Mleta 'topic' bw.lema na mwigulu nchemba ni nani mchochezi? Kati yao ni nani janga la kitaifa?

Hivi ni kwanini siku hizi mnauliza majibu jamani?

Bila shaka yoyote ni Lema ndiyo mchochezi.
 
Back
Top Bottom