Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

Ile video ni ya kweli na hata Lwakatare ana lijua hilo.

Haya mambo ya kusema imepandikizwa maneno ni katika kujinasua tu.
P, unaendelea kuiamini wakati Mwigulu kishakili kazi ya Mungu ndio sahihi?? Una moyo mgumu sana P aka bg
 
Huyu Lema kutakuwa kuna jembe amelimiss huko jela, si bureg[/QUOTE ]Kwi kwi kwiii!!!anataka kwenda kuvunja jungu


Yani Lema na the rest of CHADEMA watakuwa wana-entertain uvunjaji jungu, ndio maana wakatuhumu CUF kwa kuwa na wasiwasi wenda CUF wakawaibia ma-liberali wao. Dr Slaa kapata mwaliko wa chama cha CDU, ambacho pia ni wale wale (maliberal).
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

u must b in treatment madam.! just finish ur dose and cum bk.! Just to help u.. who comfirm that? who ask u to name CHADEMA 2015 cabinet? which part of this world u belong? u ar a realy piec of shyxxty!!
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.

''Mawazo hata kama ni ya kijinga, yakitolewa kwa Kiingereza wajinga wanayaona ya maana kweli'' By Mwl. Nyerere the late.
 
Taratibu zipo na zina eleweka, sasa kwanini CHADEMA na wafuasi wake uwa hawazifuati?

Kwanini CHADEMA wana penda kuwa watu wa vurugu tu? nchi gani hapa ulimwenguni ina ongozwa bila miiko?

Hawa wahuni wa CHADEMA wakiachwa watahatarisha amani na hali ya usalama, serikali kupitia mamlaka zake zinazo husika wakidhibiti kwa haraka hiki chama.

ID nyingine ya savimbi muiguluu munchembaa?!
 
hata ww kwakuandika haya, umeshapata popularity..?
 
hata ww kwakuandika haya, umeshapata popularity..?

I'm not seeking any popularity, instead popurality is chasing me.

Unlike Dr Slaa, he's popular, but with cheap popularity.
 
Mleta thread ni "mliberali". Lema hakuvamia kituo cha polisi. Kilichotokea ni kwamba,katika mazingira ya ile kamata kamata wale hawakuwa na hatia yoyote kisheria. Ndugu walifuatilia wakafukuzwa pale kituoni. Kwa kuwa kuna mbunge,ndipo walipo muomba waongozane kituoni kwa wadhfa wake wangeweza kujua "WHY THOSE GUYS ARE BEHIND BARS". Tusilete siasa chafu katika 'uonevu'. Moja kati ya majukumu ya mbunge ni hayo.
 
Ila sio cheap kiasi mpaka ikafikia elfu 7000/= !!
 
Ndugu wana-JF,

Mbunge wa Arusha bwana Lema na wafuasi wake wapatao 100, wameripotiwa
kuvamia kituo kidogo cha polisi cha Sombetini, kwa lengo la kushinikiza
askari wa kituo hicho kuwaachia huru vijana ambao wamekuwa wakikamatwa
na polisi hao mwanzoni mwa wiki hii.

Shinikizo hili la mbunge Lema na wapambe wake ni kufuatia hali ya
wasiwasi haliyo ijenga yeye na hao makamanda, eti ya kuwa kuna mpango
mahususi wa kudhoofisha mchakato wa uchaguzi hasa ushiriki wa kupiga
kura, kwani bwana Lema ana amini vijana hao waliopo rumande ni wafuasi
wa CHADEMA hivyo ni lazima wataipigia kura.

My take;

Serikali sasa iamue, kwani haya mambo ya 'kulea lea' matukio ya aina hii
hasa yanayo sababishwa na wanasiasa uchwara ambao kimsingi wamefilisika
kisiasa, yana weza kuliingiza taifa katika machafuko makubwa.

Kitendo hiki cha CHADEMA na wafuasi wake kuvamia vituo vya polisi si cha
kigeni, kwani itakumbukwa walisha wahi kufanya kitendo cha aina hii na
kusababisha athari kubwa ikiwemo upotevu wa maisha ya raia wasio na
hatia.


attachment.php

Lema kaishiwa sera! aache serikali ifanye kazi!
 
Wewe kaa kimya walewale tu! Polisi hao hao walipomuua Mwangosi ukakenua.. Leo watu wanakwenda kushnikiza haki itendeke unaona jipya. Kama huna hoja ya kupost kaa pemben sisi tujadili mustakabal wa majeruh waleo na uchaguzi wa kesho. Omba Mungu akuongezee hekima upate kusikika na si kuzibika!
 
Ndugu wana-JF,

Mbunge wa Arusha bwana Lema na wafuasi wake wapatao 100, wameripotiwa kuvamia kituo kidogo cha polisi cha Sombetini, kwa lengo la kushinikiza askari wa kituo hicho kuwaachia huru vijana ambao wamekuwa wakikamatwa na polisi hao mwanzoni mwa wiki hii.

Shinikizo hili la mbunge Lema na wapambe wake ni kufuatia hali ya wasiwasi haliyo ijenga yeye na hao makamanda, eti ya kuwa kuna mpango mahususi wa kudhoofisha mchakato wa uchaguzi hasa ushiriki wa kupiga kura, kwani bwana Lema ana amini vijana hao waliopo rumande ni wafuasi wa CHADEMA hivyo ni lazima wataipigia kura.

My take;

Serikali sasa iamue, kwani haya mambo ya 'kulea lea' matukio ya aina hii hasa yanayo sababishwa na wanasiasa uchwara ambao kimsingi wamefilisika kisiasa, yana weza kuliingiza taifa katika machafuko makubwa.

Kitendo hiki cha CHADEMA na wafuasi wake kuvamia vituo vya polisi si cha kigeni, kwani itakumbukwa walisha wahi kufanya kitendo cha aina hii na kusababisha athari kubwa ikiwemo upotevu wa maisha ya raia wasio na hatia.


attachment.php

Danganya wajinga wenzio sote tunaona tumekuwa kwenye system mpaka sasa wewe endelea kutumikia shetani huku ndugu zako wanaangamia.Alafu unaambulia kijisenti.Umasikini wako ni ujinga wako.Huna akili wewe
 
Tumia akili unavyopost mada zako za kjinga SHOG4 WW;lema ndo kalpua bomu?siasa uchwara ndo nn?kubwa j*ng# ww
 
Lema is a confirmed troublemaker, and the only way he can gain popularity is through frictions and senseless arguments with authorities. He's aware that his name hasn't been mentioned in newspapers for a while now, so he's trying to apply his traditional ill tactics to make some headlines. Yet this is a person ambitious to become the minister for home affairs if Chadema wins election.
ok the authority of troublemaker, how about chemba au bado yupo kwenye probotion so hujamconfirm bado? ww humjui Lema inawezekana unasikia simulizi plz jipe muda hata wa kumsikiliza kwenye mikutano yake au ongea naye ana kwa ana utajiona mjinga sana
 
jamani tunafanya siasa ni sawa,lakn lengo kama ni kuwatetea watanzania kwanini tunawaua kwa mabomu ili tukishinda tuongoze makaburi au?????????? kwanini hatukubali walau kukaa chini na kushirikisha ubongo wetu walau kwa nusu saa kwa siku,???????kila kitu tunaruhusu watu wafikirie kwa ajiri yetu!!!!!!!!!!! kuna wana siasa tunawafahamu kwa majina ila uwezo wao wakufikiri wote tunaufahamu lakn ndo tumewapa jukumu la kufikiria kwa ajiri yetu!!!!!!!!!! hey you guys let sit down and think twice for prosperous of our country.........................kama unataka kuwania urais jaribu kufikiria una nini cha kufanyia watanzania kilicho chema cha kukumbukwa kwa ajili ya vizazi vijavyo......tujifunze kutoka kwa kagame......sekta zote zipo hoi,naomba tukae chini tutafakari,mabomu,tindikari,virungu havitusaidii sana kutuondoa katika dimbwi hili la umaskini sanasana ni kutiana vilema na vifo...........................nitaendelea
 
well your mental acumen is below that of imbeciles! Your mind thinks anticlockwise. If you could get into what Lema is passing through, ungeshakufa! The demons from Dr. Fastjet are trying to haunt him

Confirmed by who? Wewe na Hammy-D akili zenu zinalingana kama pipa na mfuniko.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom