YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Naamini hile hoja ya ZITTO KABWE ya kwamba vyama vya siasa vifanyiwe ukaguzi wa mahesabu katika matumizi yao na mbaya zaidi alitaka mkaguzi aanze na chama chake cha Chadema kipindi hicho, ili suala hawakulipenda na walianza kumsakama kwa visingizio vingi hadi alipong'oka. Kwa ujumla, wana matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Ruzuku wanazopewa, zinatoka serikalini na ni kodi ya watanzania.kwa mwendo huu Chadema itatumia 50 yrs kupata pesa ya kununua kiwanja, kibaya zaidi kwa takribani miaka 2 hawajalipia ofisi za chama kwenye jengo la Bob makani
Lema hana hatia yoyote. Ndoto sio kosa. Kwani wewe ukiota baba au mama yako amekufa ukamwambia anakuchukia? Kuweni waelewa. Baada serikali ishugulikie waathirika wa matetemeko wanaangaika na ndoto?
Kama kila ndoto ni ndoto, ebu muulize Lema ni kwa nini asiendelee kukaa huko gerezani kuliko kuja huku uraiani. Na ni kwa nini wasipelekwe watu wengine huko gerezani na awe Lema tu. Watu wote tunaota ndoto, mbona atutangazii umma kuhusu ndoto zetu. Sikiliza vizuri hiyo video halafu uone kama kweli huyo Lema aliota kweli au alikuwa na lake jambo! Sema tu alitaka kutumia ndoto ili kutimiza aja yake.Serikali yetu haina DINI, hivyo haiamini katika ndoto na isitoshe Lema hakusimulia ndoto yake akiwa kanisani. Ni mtu aliyeita waandisi wa habari akiwa amejiandaa kwa kutenda kosa.Kanisani uwa kuna muda watu uenda mbele na kutoa ushuhuda wa jambo flani. Sasa Lema kama kweli alikuwa ameota, angeenda tu kanisani mbele ya mchungaji wake na kutoa ndoto yake na mchungaji angeweza kumpa tafsiri ya ndoto hiyo. Ndoto uwa inatafsiriwa hasa ile ambayo kweli Mungu anataka kuitumia ili jambo flani litokee. Ndoto ya Mungu umtokea mtu kwa namna ambayo mtu huyo hawezi kuelewa na uwepo mtu wa pili ambaye ndiye uweza kutoa tafsiri hiyo.Ndoto ni ndoto tu haimchagui raisi au mgambo. Cha msingi hapo ni siasa za gambo zinafanya kazi. Nothing else
pesa ya wajinga ndio inavyopigwa,ajabu ya bavicha wanapohoji jambo lazima waweke neno kodi zetu kutilia mkazo hoja,lakini Lema anapoteza hela zetu wao wapo kimyaaahabari za asubuhi wa JF
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
Nitashangaa kama CHADEMA italipia upuuzi wa "kuota" kwa Lema, upuuzi wa kumuotea vibaya Rais.
Na hela hiyohiyo ni ruzuku toka serikalini.
Kama ni kweli basi hata CHADEMA kitakuwa chama cha kipuuzi!
Not easy layman best you stay away with ua political propaganda and uchwara of uccm and not necessary once u receive 3/5k u must write or talk pumba as propesa pumba rt??????Hili halihitaji siasa fika ofisi zozote za CDM uulize gharama za mawakili wanao simamia kesi ya Lema na mchanganuo wao, mimi nimejaribu kufupisha, hii sio siasa ni uzalendo tu
Wao wanaona hela ni ya umma ila imetolewa kwao. Njia nzuri ya kuila hela hiyo ni kupata kesi za kisiasa za kujitakia kwa kuichokoza kuitukana na kuikejeli serikali na viongozi wake.habari za asubuhi wa JF
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima. Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya. Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
Haka ni kamradi flani hiviKwani Lema si ana mshahara na posho zake ?! Iweje gharama za kina Kibatala zibebwe na CDM?!
Tuwe wazalendo Lema kabugi, ila kwa kuwa mchuma janga hula na wakwao, inabidi iwe hivo hamna namna