Lema kweli hana nidhamu

Status
Not open for further replies.
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Nadhani ulivyoandika umenyesha ni jinsi gani ulivyo mnywa gongo!
 
Mleta mada siwezi kumpa kazi ya uhousegirl
 
Hapo umesema "kifungua mimba", hivi bibi Mariam mama wa Yesu alikuwa na watoto wengine? Na kitinda mimba alikuwa nani?
 
Hapo umesema "kifungua mimba", hivi bibi Mariam mama wa Yesu alikuwa na watoto wengine? Na kitinda mimba alikuwa nani?

Ndio, Bi Mariam alikuwa na watoto wengine baadae umbu zake na Yesu.
 
Lema amekopi na ku paste zile siasa za ulaghai za kibabu.

Unakumbuka BABU alisema kuwa akiingia madarakani atatengeneza katiba ndani ya siku 100, halafu atauza cement mfuko wa kg 50 shs 5000, pia akasema kuwa wenye nyumba za nyasi wote atawapatia bati! Mzee mwongo yule!
 
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Wapi huko?? Bar au msikitini?? Au alikuwa MSALANI ukamchungulia??
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…