Mkuu asante kwa kauweka kumbukumbu sahihi huyu Godbless J Lema Alituaga wana jamvi hapa kuwa angeondoka Dodoma Bungeni mwanzoni mwa wiki iliyopita! Nashangaa mpaka sasa karibu siku kumi zinaisha bado yupo tu!
Ritz, Yap yap mkuu, na aliaga kwa mbwembwe ila nilisema yule kwa kupenda hela hataondoka! Kweli kabaki ila ndio kawa kituko kabisa heshima hana kwa sababu anawaza hela tu hoja hana! Cheze kilo tatu kwa siku!

Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
Dah! Mchaga Lema kazidi kunogewa na pesa aisee! Anazisaka kwa njia zote duniani, Kwa ulaghai, ujambazi, wizi, per dm za bungeni, ni ile biashara yake nyeti aliyosambaza picha zake watu waijue hiyo biashara nyeti.

craap!!!! wewe ni mpuuzi unae kesha humu na thread za kipuuzi, lema yupo bungen ana wakilisha zaidi ya wananch million 3, wewe hata kuwakilisha familia yako ume shindwa.