Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.

Ilikuwa wapi Lema kafanya hicho kituko?Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.
Kamanda, hata kama una mapenzi na Lema, jaribu basi kuangalia maneno ya kuandika.Mwambie mama yako afunguke ili akutajie baba yako maana ulizaliwa gesti.
Habari kuu leo ni KAFULILA kawatia adabu....
Lema alichokuwa akipigania ni ukweli uliotaka kuachwa na NAHODHA...Kama ni iliunalalamikia basi wewe ni mpuuzi sanaaa.
craap!!!! wewe ni mpuuzi unae kesha humu na thread za kipuuzi, lema yupo bungen ana wakilisha zaidi ya wananch million 3, wewe hata kuwakilisha familia yako ume shindwa.
Ilikuwa wapi Lema kafanya hicho kituko?
LEMA kafanya nini tena? Kuhusu kutokuwa na Nidhamu hilo hata mtoto mdogo analifahamu. Kaleta uwendawazimu bungeni nini?
Mkuu RalphryderBungeni mkuu.