Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Anaingilia fani za watu huyo!
ImageUploadedByJamiiForums1427029753.595420.jpg
 
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima

Trekta aliliuza siku nyingi na ambulance alimuuzia muhindi wa arusha art, Lema ubunge atausikia bombani ti
 
ACT tunaingia Arusha kwa kishindo, Lema anza kufungasha mizigo yako
 
Trekta aliliuza siku nyingi na ambulance alimuuzia muhindi wa arusha art, Lema ubunge atausikia bombani ti

Trakta Lipo Hapo Lemara, Mwindi wa Arusha Art amekanusha Kuziwa gari yoyote na lema. Mwezi wa Nne Ambulace itaingia Arusha.. Ccm jiandaeni Kuficha Aibu nyingine

Chadema Kwanza
 
Viongozi wote wa CCM na Mamluki wao ACT ni FUTUHI...
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Amemwambia kinana anastahili kujiunga na futuhi
**Amekuja arusha kupokea viongozi wa CCM akidai wanatoka CHADEMA

**Palapala ni mwenyekiti wa kijiji cha Waso kwa tiketi ya ccm leo anadai amepokea kiongozi wa CHADEMA

**Ole Selanga alifukuzwa chadema toka Nov 2013 leo anadai kapokea mwenyekiti wa cdm wilaya
Alipita soko la kilombero kakuta mama anafagia kasimamisha msafara naye kaanza kufagia
Amemtaka aache kupiga kelele na kuwatukana mawaziri wake ovyo kama anaona hawawezi kazi aache sanaa amfuate mwenyekiti wake amueleze wawatoe.

**Soko la Kilombero hakuna mwananchi atakayehamishwa utafanyika ujenzi wa ghorofa kwenye kile kiwanja kulichoibwa kisha watahamia huko ndipo ujenzi uanze kilombero sokoni

**Hospitali ya mama na mtoto tayari ameshasaini mkataba ujenzi wa hospitali na chuo cha uuguzi uataanza kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza

**Ambulance ziko mbili UK zitapakiwa alhamisi kuja Tanzania

**Trekta lipo

**Watoto wa shule aliowalipia mwaka wa kwanza baada ya hapo alizungumza na Mkurugenzi akatoa maelekezo kwenye shule zote watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wasio na uwezo wasitozwe Ada na limetekelezwa kwani hakuna mzazi aliyelalamika

**Kinana aliwahi kuwa mbunge wa arusha hakuna wakati maeneo ya wazi yakiuzwa kama kipindi hicho na ni vema akaeleza ilipo mashine ya kufua nguo ya hospital ya mt Meru....
 
ACT tunaingia Arusha kwa kishindo, Lema anza kufungasha mizigo yako
Arusha nimeona ofisi zenu zipo karibu na ofisi za ccm Arusha tumeshafukuza wahuni wenzenu wa ccm sasa sijui nyie mnaenda wapi ACT kwenu ni huko kigoma mkajizikie huko.
 
Wewe si umesema halipo nenda kalione mepakaza wongo wenu sasa mwisho umefika wakati wakuaibika mara ya 2 kwa ccm umefika

Trekta limeshauzwa mpaka kadi yake imebadilishwa ushahidi ninao, yule mzee aliemuuzia daraja mbili namfahamu vizuri
 
Back
Top Bottom