Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

**Ambulance ziko mbili UK zitapakiwa alhamisi kuja Tanzania

**Trekta lipo

- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda kama zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!
 
Inawezekana akawa hana, ila yule aliyealika fisi kwenye mkutano wake ndiye anaakili sana?, Katibu Mkuu wa Chama Tawala anaushirika gani na FISI!!??

hapa utapata jibu la mafisi fisi tu
 
- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda kama zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!

itabidi kinana awashirikishe na vijana wake kwenye futuhi...je unaweza kuleta docs ya kuthibitisha muziano...je zitakapoletwa kutoka UK utasemaje hizo ambulance, unajua nani aliahidibkuzinunua huko UK...
 
Naheshimu sana kauli ya Lema Arusha hakuna wahuni wa ccm kinana alivyoabika ataenda salamu Jk .
 
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima

Wewe ni juha. Unajua Jimbo la Arusha Mjini coverage yake ni wapi hadi wapi? Ndiyo shida ya kuzaliwa na kukulia na kusomea Mtaa wa Pangani. Ilmu Ahera imekutosha, tafuta na Ilmu dunia sana
 
- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda kama zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!
utaabika sana mwaka huu
 
Kuna mtu ameandika kuwa CCM na ACT mna akili za kifisifisi tu...
 
Changanya na zako za fisi utapata tembo

kumbe ndo maana kinana anamsakama Nyalandu kwasababu kamkataza kutembeza wanyama kwenye mikutano ..hongera nyalandu uwenda usingemzuia angeleta tembo kwenye mikutano na ndo maana anakuita mzururaji .....
 
- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda ka zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!
Trekta lipo hapo Lemara Aaatish ni mtoto Wa Arusha Art Amekanusha ajauziwa gari lolote na Lema.. Nakumbuka Kwenye kampeni za Serekali za Mitaa Ndugu Mussa Allan au Msalani ulichapisha mabandiko yakumkashfu Lema na mpaka leo hujakanusha, tueleze bei gani ulilipwa na invoice ipi?
 
kumbe ndo maana kinana anamsakama Nyalandu kwasababu kamkataza kutembeza wanyama kwenye mikutano ..hongera nyalandu uwenda usingemzuia angeleta tembo kwenye mikutano na ndo maana anakuita mzururaji .....
Ndio Maana yake Mkuu
 
- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda kama zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!
Shoga utamjua tu
 
lema-chopper.jpg
Makamanda, Na hii inawasili lini nchini?
 
Kama Lema angekuwa makini asingekuwa na haja ya kujitetea. Lema si makini!
 
Back
Top Bottom