**Kinana aliwahi kuwa mbunge wa arusha hakuna wakati maeneo ya wazi yakiuzwa kama kipindi hicho na ni vema akaeleza ilipo mashine ya kufua nguo ya hospital ya mt Meru....
Hapa kweli tunahitaji maelezo......
Wewe unazungumzia kubuni lakini hautaki kuchosha kichwa chako na kutambua ni serikali ya chama gani imetoa pesa?
Wewe unazungumzia kubuni lakini hautaki kuchosha kichwa chako na kutambua ni serikali ya chama gani imetoa pesa?
Lema atueleze Machinga Complex iko wapi?