MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,476
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima
Haya sasa
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima
Huyu kinana kachanganyimiwa
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima
Inawezekana akawa hana, ila yule aliyealika fisi kwenye mkutano wake ndiye anaakili sana?, Katibu Mkuu wa Chama Tawala anaushirika gani na FISI!!??
View attachment 236767
Makamanda, Na hii inawasili lini nchini?
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Amemwambia kinana anastahili kujiunga na futuhi
**Amekuja arusha kupokea viongozi wa CCM akidai wanatoka CHADEMA
**Palapala ni mwenyekiti wa kijiji cha Waso kwa tiketi ya ccm leo anadai amepokea kiongozi wa CHADEMA
**Ole Selanga alifukuzwa chadema toka Nov 2013 leo anadai kapokea mwenyekiti wa cdm wilaya
Alipita soko la kilombero kakuta mama anafagia kasimamisha msafara naye kaanza kufagia
Amemtaka aache kupiga kelele na kuwatukana mawaziri wake ovyo kama anaona hawawezi kazi aache sanaa amfuate mwenyekiti wake amueleze wawatoe.
**Soko la Kilombero hakuna mwananchi atakayehamishwa utafanyika ujenzi wa ghorofa kwenye kile kiwanja kulichoibwa kisha watahamia huko ndipo ujenzi uanze kilombero sokoni
**Hospitali ya mama na mtoto tayari ameshasaini mkataba ujenzi wa hospitali na chuo cha uuguzi uataanza kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza
**Ambulance ziko mbili UK zitapakiwa alhamisi kuja Tanzania
**Trekta lipo
**Watoto wa shule aliowalipia mwaka wa kwanza baada ya hapo alizungumza na Mkurugenzi akatoa maelekezo kwenye shule zote watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wasio na uwezo wasitozwe Ada na limetekelezwa kwani hakuna mzazi aliyelalamika
**Kinana aliwahi kuwa mbunge wa arusha hakuna wakati maeneo ya wazi yakiuzwa kama kipindi hicho na ni vema akaeleza ilipo mashine ya kufua nguo ya hospital ya mt Meru....



kwani nayo ni ahadi Kwa wananchi au alimwahidi mama msalani
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima
Najua kuwa source yako ni Account ya G Lema ya facebook. Lakini sasa natia shaka kama account hiyo anayepost ni Lema tunayemjua maana hawezi kufanya utoto huu; mfano jana aliweka picha hii ya mkutano wa Kinana Arusha
View attachment 236785
Lakini taarifa tuliyoipata leo picha za mkutano wa Kinana ni hizi:-
View attachment 236786
View attachment 236787
Na kama ni hivyo wanasiasa wote kumbe ni FUTUHI
Hivi huyu Lema ana akili timamu kweli?
Si aliwaahidi nyie misukule wake?
mazezeta uelewa wao Mdogo mno...
- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda kama zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!
Nani analima kwenye jiji!?!! Swali la kitoto kabisa! Ukiwa na plot kule Kigamboni huwezi kulima? Pale jijini Mbeya watu wana mashamba pembezoni mbona wanalima tena.kwa matrekta?