MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
kwamba tuzitumie kufanyia nini? nani alikwambia ametuahidi...
Kwani CHADEMA si mnatumia helkopta "kukomboa nchi?"
kwamba tuzitumie kufanyia nini? nani alikwambia ametuahidi...
Kwani CHADEMA si mnatumia helkopta "kukomboa nchi?"
Sasa ndio umeonyesha nini? Maana lipo Lemara
Hivi huyu Lema ana akili timamu kweli?
Nani analima kwenye jiji!?!! Swali la kitoto kabisa! Ukiwa na plot kule Kigamboni huwezi kulima? Pale jijini Mbeya watu wana mashamba pembezoni mbona wanalima tena.kwa matrekta?
Tena akienda na wale fisi wake futuhi itanoga sana
hatutachoka kuwaelimisha nyie mazezeta Wa CCM..unachotakiwa kufanya Ni kuangalia picha zote ipi orijino ipi fake... au IPI imepigwa wapi na IPI imepigwa upande gani?
kifupi mkutano Wa kinana ambao Ni Wa mkoa mzima Wa Arusha ni Aibu....
Hivi huyu Lema ana akili timamu kweli?
wakati ukihangaika na MH LEMA , wakubwa wako wanadalalia nchi .- Trekta Bw. LEMA alimuuzia Mzee mmoja pale Daraja mbili anaitwa Kitasho! Anaposema lipo aelekeze liko wapi!
- Ambulance mbili ziko kwa Aaatish pale Arusha Art Lema alimuuzia kipindi kile aliposimamishwa ubunge! Labda kama zinakuja nyingine lakini zile za mwanzo alishaziuza!
Ccm chama dumeee mkijifanya wabishi tunadola itawatuliza na kwa taharifa yenu hata maliasili zote no za ccm[/QUOTE]
hapo mkuu nakubaliana na wewe NO CCM katika maliasili zetu hasa tembo.
La kijiji alilinunua mama yako...unakichaa kweli