Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

kiboko yao ni octoba si wanadhani cc ni watoto wadogo wa kudanganyiwa pipi!!!!! Cha msingi tubanane nao kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
 
Usanii wa Kinana umezidi jamani. Anajifanya kukagua miradi ambayo hata chama chake hakikushiriki kuifanya, mfano ni mradi wa maji kata ya Olasiti uliobuniwa na kutekelezwa na kiongozi wa CHADEMA Mhe. Daudi Safari.



CC: Mungi

Crashwise.
 
Last edited by a moderator:
Changanya na zako za fisi utapata tembo

Jana Kinana alisambaza kifusi eneo la njia panda ya kwenda Mwanama pale kwa lala.Nimetafakari sana alitaka kutoa somo gani kwani ile kazi hufanywa na machine na yeye akafanya kwa mikono. Ni kwamba anataka kuturudisha enzi za zana za mawe au amechanganyikiwa? Kinana ni wa kufanyiwa uchunguzi wa akili kwa sababu anaigiza ujamaa ambao alishiriki kuua
 
Back
Top Bottom