Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

hongera Kwa kuleta uthibitisho kwamba trekta lipo...

Hapa ni wakati limenunuliwa, kabla LEMA hajasimamishwa ubunge na mahakama, Aliposimamishwa tu, ile njaa ikazidi, akaliuza, Huu ni ushahidi kuwa Tractor lilikuwepo likauzwa. LEMA mtukutu sana!
 
Huyo jamaa pembeni aliyevaa kizibao cheusi anazo copy zote za mauziano ya ambulance na trekta baada ya kurushana genji sasa hivi ni madui wakubwa, hiv punde nimetoka kuongea nae ataweka mambo hadharani
 
Attachments

  • 1427037633051.jpg
    1427037633051.jpg
    92.6 KB · Views: 200
Huyo jamaa pembeni aliyevaa kizibao cheusi anazo copy zote za mauziano ya ambulance na trekta baada ya kurushana genji sasa hivi ni madui wakubwa, hiv punde nimetoka kuongea nae ataweka mambo hadharani

Huna ushaidi wowote maana nimeongea na muhusika wa Arusha Art mliosema amekanusha hajauziana na Lema gari Lolote na trakta lipo hapo Lemara Niko Arusha Kikazi za Chama hata jana nililiona Lemara wacheni wongo unaofanana na fisi
 
Hapa ni wakati limenunuliwa, kabla LEMA hajasimamishwa ubunge na mahakama, Aliposimamishwa tu, ile njaa ikazidi, akaliuza, Huu ni ushahidi kuwa Tractor lilikuwepo likauzwa. LEMA mtukutu sana!
Upo sahihi na tractor lipo Lemara nimeshakwambia kahakikishe sasa naomba nijibu lile swali langu unalolikwepa kila mara
 
Huna ushaidi wowote maana nimeongea na muhusika wa Arusha Art mliosema amekanusha hajauziana na Lema gari Lolote na trakta lipo hapo Lemara Niko Arusha Kikazi za Chama hata jana nililiona Lemara wacheni wongo unaofanana na fisi

Jamaa anao ushahidi kaka we tukia muda c mrefu mambo yatawekwa hadharani
 
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima

Kwamba ufahamu wako kuhusu trekta, kazi yake ni kulima tuuuu... na na kuna watu wana "like" comment yako badala ya kusikitika wakidhani upo sahihi.... hatari sana
 
Sisi vijana wa Arusha tumemchoka Lema

Sisi wakina nan ni ww jomba, labda umechokwa na mke wako ww, uchaguz si huo unakuja ngonjera zote sn nn? Hapo ndo tutajua je? Vijana wamemchoka leo ama, na mkishinda napa laki 200000,
 
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima

mulube; Mbona unajiaibisha bure kabisaaaa. Yaani kwako tractor ni la kulima tu. Lile trela huwa linalima au ni part ya tractor kulimia???? Kweli ccccmmm wehu ni wengi. Kukusaidia tu tractor laweza kutumika kuzolea taka mjini, tractor laweza kutumika kusombea lami, kokoto, and what have yu. Pumb.afuuuuuu
 
Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima

mulube,
Wewe ndo mwehu ambaye unafikiri kazi ya trekta ni kulima porini. Trekta ni mashine inaweza kutumika popote kama kuvuta trela la kubebea taka mjini au mizigo ya aina yoyote. Lakini pia trekta linaweza kutumika kama kitega uchumi kwa kurikodisha kwa wakulima wenye mashamba yao nje ya Jiji.Tatizo lako umekariri kuwa Wakulima lazima wakae mashambani. Pambaf!
 
Back
Top Bottom