Lema: DW wametumiwa na CCM kufanya propaganda

Kama ni Mandela atafia kizuizini, maana Mandela org alifia kizuizini alafu wasouth wakaletewa Mandela copy. Kwahiyo Mbowe hatorud tutaletewa copy ya Mbowe.
Conspirancy theory tu hizo.
Ina maana Winnie alipotelewa na mumewe, alibadilishiwa bila kugundua.
Baada ya kutoka gerezani huyo anaeitwa Mandela feki aliishi zaidi ya miaka 20 family members hawakushtuka tu wakataka kipimo cha DNA.

Na iwe hivyo ni feki kweli, na Mbowe nae si atatengezwa Mbowe feki wanafamily na wana Chadema hawatagundua,hivyo lengo la kupaisha Chama litakuwa limetimia na hatimae Mwamba kuukwaa Urais?

Mnataka u Mandela lakini masahibu (madhila aliyo kumbana nayo)yake hamyataki.
 
Huyu kenge Lema amekimbia nchi na bado anataka diaspora waandamane kwa faida ya nani? Nilishasema siku nyingi saaana ,bangi haiweze kumuacha mtu salama hata siku moja.
Ndugu,
Ungekuwa mkweli ungesema wazi kuwa nyiwe wa kijani mnaogopa sana maandamano. Maandamano ni moja ya njia za watu/wananchi kutoa hisia/mitazamo yao, ambayo yaweza kuwa ni kukuunga mkono, kutofautiana na hata kupinga vitendo/mawazo yaliyopo iwe hapa nyumbani au nje ya nchi.
Hata kwa katiba hii 'mbovu' iliyopo mandamano yanaruhusiwa na sio kosa kisheria. Uoga wenu wa kichawi ndio unaoharibu TAIFA LETU.
 
Back
Top Bottom