MUNGU WANGU!
Ninakutaja MUNGU wetu maana hakika najua unaweza!
Nitakutukuza siku zote ya maisha yangu.
MUNGU! Fanya maajabu maana hakika unaweza,Naenda kinyume kabisa na hila chafu ya shetani kwani hana mamlaka hata kidogo kwa kuwa MUNGU nitakutaja sisi tukiwa watu wako.
Pepo huna mamlaka kwa watu wa MUNGU,shindwa pepo shindwa na hata ulegee.
Kama ni wewe umetumwa kutafuta walio wako hakika hapo kwa Mbunge wetu hauna mamlaka kwa jina la Mwokozi wetu YESU KIRSTO aliyehai,shindwa pepo!!!!!! Shindwa pepo!!!!
Naamuru kwa jina la YESU KIRSTO drip aliyokwisha kupata na iwe dawa ya kumnyanyua na akatende kazi ya BWANA.
Naamuru haya kwa Jina lake YESU KIRSTO BWANA WETU
Ameen!!!!
Pole MB Lema na MUNGU mwenye mamlaka atakunyanyua na utaendelea na ujenzi wa Taifa letu!