Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

Mkuu palalisote ,

Huwezi kuamini, jana tu nilikuwa naangalia huu wimbo na naona leo umeweka maneno yake.

I must agree that, the storm will be over now (Soon).

Last edited by a moderator:
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT

Hapa we ndo unaonyesha IQ yako ilivyo chini....ungekuwa juu usingesema haya maneno yako...mwenye IQ kubwa lazma ajitofautushe na mwenye ndogo ila kwa hili lako your IQ is very LOW
 
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT

hivi IQ ya kikwete na Lusinde yanani iko juu maana leo nilimsikiliza badala ya kuhutubia akaanza kufundisha kweli watanzania tulilamba galasha afadhali tungemchagua salima..
 
Mtu kutumia jina lake halisi au ID tofauti ni uhuru wake,mbona we unajiita tume ya katiba ina mana ndo jina lako halisi?

Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwa hili!

Nina wasiwasi kuna kamchezo kanachezwa na nyie mnaakia kushabikia, haiwezekani hatujasikia hata siku moja kuna sera

Hawa watu wanatekeleza kwa vyama vyao, kila siku ni post za kujisifia. Na kwa kuwa wana fake ID nina mashaka sana..

Pia Rejao yupo right ndugu yangu, mtu aliye na uongozi kama mbunge kwa nini ufiche ID yako?? ni uoga tu na uwezo mdogo wa

kujibu hoja!
 
CCM arusha matumbo joto hawajui kesho nani atawakimbia...
 
TAHADHARI: YAWEZEKANA HII HAMA HAMA YA WANA-CCM IKAWA NI MBINU ZA KUTUMA MAMLUKI KATIKA VYAMA VYA UPINZANI HUSUSAN CDM. UONGOZI WA CDM UKUMBUKE MREMA ALIPOTOKA CCM AKENDA NCCR NA KISHA KWENDA TLP. :A S-fire1:
 
Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwa hili!

Nina wasiwasi kuna kamchezo kanachezwa na nyie mnaakia kushabikia, haiwezekani hatujasikia hata siku moja kuna sera

Hawa watu wanatekeleza kwa vyama vyao, kila siku ni post za kujisifia. Na kwa kuwa wana fake ID nina mashaka sana..

Pia Rejao yupo right ndugu yangu, mtu aliye na uongozi kama mbunge kwa nini ufiche ID yako?? ni uoga tu na uwezo mdogo wa

kujibu hoja!

naomba ID ya kikwete na mkama
 
Wabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!

why?

Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu

hakuna ID ya nasary tunaoijua.

Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........

anyway just guessing .................

Tume ya Katiba unamahanisha Cruishwiser ni Lema?mbona watu wanasema wewe ni Nape ila unatumie invisible ID!
 
TAHADHARI: YAWEZEKANA HII HAMA HAMA YA WANA-CCM IKAWA NI MBINU ZA KUTUMA MAMLUKI KATIKA VYAMA VYA UPINZANI HUSUSAN CDM. UONGOZI WA CDM UKUMBUKE MREMA ALIPOTOKA CCM AKENDA NCCR NA KISHA KWENDA TLP. :A S-fire1:

naamini viongozi wanakusoma
 
Back
Top Bottom