LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Lema nenda Bukoba, Mtwara, Lindi, Kigoma, wewe kila siku Arusha tu.
Hv wewe ritz umehamaga Nchi?
Kule kote utajako fagio limeshapitishwa kitambo na KAMANDA wa ukweli na cjui ulikuwaga wapi na hata haujasikia ya kwamba Chopa inafanya kazi mtindo mmoja.
Acha utoro jamvini ritz!