Lema awasha moto Igunga

Mr Mark kweli wewe ni Kilaza je wewe ni mtoto wa fisadi?,mpaka unajiita Mr umeshafanya nini ambacho ni msaada kwa taifa hili?naomba namba yako nikutafute nataka kuhakiki kama wewe ni Mwanaume.
 
kweli Nzega hakuna mbuge unaleta utabili wa shehe yahaya eti wakitusaliti, hao wote baado wapo chadema tena wanamchango mkuu katika bunge kuliko wewe, kwanza wewe sio chagua la wananchi ni chagua la makamba, mbunge halali ni basha, wewe ni mamluki wa makundi ndani ya ccm
 
Naona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...
wewe uwezi kuwa shaken mkuu, maana hata kiti unachokalia ni cha mtu, Mzoea vya kunyonga..................?
 
Naona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...

mkuu unawakilisha vipi hao watu wako na makazi yako yako DAR, au unatumia remote control , inakuwaje mbuge umekimbia jimbo
Join Date : 6th February 2008
Location : Dar es salaam, Tanzania
Posts : 91
Thanks 41 Thanked 63 Times in 23 Posts

Rep Power : 24
 
Mr Mark kweli wewe ni Kilaza je wewe ni mtoto wa fisadi?,mpaka unajiita Mr umeshafanya nini ambacho ni msaada kwa taifa hili?naomba namba yako nikutafute nataka kuhakiki kama wewe ni Mwanaume.

Kasuku nakuona uko JF! Hivi CDM wameshakuajili? Au bado ni kibarua?
 
Mopaozi,
Chadema ni chama kinachotengeneza vijana na kuwaandaa viongozi. Wapambanaji ni wengi tu Chadema unasemaje juu ya Halima Mdee, Tundu Lissu, mwenye ujasiri wa kumwambia Mwanashera Mkuu wa Serikali kuwa ni mvivu wa kusoma. Chadema inao vijana kibao, na wazee pia na kila mmoja ni mpambanaji, wote kwa lengo la kuwang'oa mafisadi ikiwa ni pamoja na mafisadi wa elimu.

Wewe ni zuzu kweli kwa upuuzi ule hata bunduki ingepigwa sembuse kupigana naona umetumwa na chama cha magamba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…