Tena sna tuwe naye bega kwa begaTumuunge mkono popote kutangaza sera iwe sokoni, ktk daladala, bar, ktk sherehe kama mh. Lema hata vituo vya daladala saa ya ukombozi ni sasa
ubatizo unatumia maji mengi aufreedom is coming tomorow. Mimi hapa na tembea na kadi za chadema mfukoni zisizo pungua kumi hivi, nikifika mahali napiga somo watu wakiitikia na wabatiza kwa jinala la CHADEMA NA PEOPLEPOWER AMEN.
ubatizo unatumia maji mengi au
pole sana haya maji unakuwa umeyahifadhi wapiya natumia maji mengi. kwani vipi?
.....,hata msibani nako.! Mpaka kielewe hiyo 2015 tutoe elimu ya uraia kwa kila aliyeko mbele yetu.Tumuunge mkono popote kutangaza sera iwe sokoni, ktk daladala, bar, ktk sherehe kama mh. Lema hata vituo vya daladala saa ya ukombozi ni sasa
Tena huko ndiko Chadema inachukulia wanachama wengi, ukizingatia wanakuwa na machungu ya kupotelewa na ndugu zao wanaouwawa na CCM!Nasikia mpaka makaburini siku hzi chadema wanatafuta wanachama
nasikia mpaka makaburini siku hzi chadema wanatafuta wanachama