Tatizo la Lema kukurupuka hata kama jambo linaitaji maongezi siasa za makengeza ndizo zinaizamisha Chadema.
Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
Kwa hili Lema amekoroga, na kwanza hana mamlaka ya kufanya hivyo. Anachotakiwa kukfanya ni kuishauri serikali ifanye hivo si yeye. Nashangaa amevimbishwa kichwa kiasi cha kumfikisha kutojua hata mipaka yake ya utendaji kama mbunge.
John Mongela nae amechemka sana alipomvua madaraka Mwl Mkuu,alimtaka afike kwenye kikao (Mwl yuko nje Mkoa kwa dharula) yeye anamvua bila hata ya kujitetea kwa nini hakufuka!uongozi wa kiimla huo!wewe jaji,wewe mwendesha mashitaka na wewe ndio shahidi!mtuhumiwa hajajieleza hata ukajua yaliyomsibu!sio hivyo!uongozi wa jazba
Na kuipaisha ccm? au? baada ya hili tembelea hiyo shule uone kama haijaboreshwa, serikali yetu hadi iamshwe ndo ifanye kazi, safi sana, wakiambiwa wanajifanya hawaskii, ni vitendo tu ndo vitawaamsha
LEMA tangia amapata ubunge amekua akihamasisha maandamano na vurugu na sio maendeleo na hii ndio IMPACT yake sasa shule hazijengwi na matatizo lukuki ambayo yangetatuliwa na yeye kw kushirikiana na wananchi wake....haya kwa hili umeumbuka tumia nguvu yako ss kafunge na wewe tuone wananchi wenye watoto wao km hawatakutoa roho
Washauri wa mambo ya siasa wa Lema ni kina nani.
Tatizo viongozi wa siasa Tanzania hawajui kazi zao. Mawaziri wanafanya kazi za project managers. Wabunge wanafanya kazi za maafisa.
Huyu mbunge ni kilaza wa kupitiliza na hajui chochote kuhusu shule zinavyoendeshwa. Yeye alikuwa anatafuta sifa za kijinga. Hakuna Afisa Elimu mwenye akili anaweza akafunga shule kwa maagiza ya wanasiasa. Mambo kama haya ndiyo yanaishushia CHADEMA hadhi mbele ya jamii na kuonekana kuwa ni toy badala ya chama cha siasa. Mnatukwaza!
Tatizo la Lema kukurupuka hata kama jambo linaitaji maongezi siasa za makengeza ndizo zinaizamisha Chadema.
Washauri wa mambo ya siasa wa Lema ni kina nani.
Hapo Lema alikurupuka, afisa elimu alishauri vizuri hakumsikia. Hii ndio weakness kubwa ya wanasiasa wetu.
Ni Ritz, Chama, Mingoi, Nnauye jr, Tuntemenke na masalia wote!!!!!! bila kumsahau Le Mutuz - Le Totos - Le Demuz