Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

wakati wanadamu wanakuwazia kushindwa,Mungu anakuwazia kushinda,wanakuwazia kuanguka,Mungu anakuwaza kukuinua......wao wana pesa,,sisi tuna Mungu......pipooz....
 
matokeo ya leo itakuwa ni majibu kwa aki Juliana (zamani jina hilo ndo ulikuwa UKIMWI). Leta habari Yeriko tulete ukombozi ambao akina NAPE hawatki upatikane kwa kuwatumia akina Juliana na akina ZITO

Mkuu, hapo kwenye mabano umekumbusha mbali sana, miaka ile ya 1980s, kweli huu ugonjwa ulikua unaitwa hivyo, yaani nimecheka hadi basi, Zitto si angekaoa tu hata haka, mbona wanafanana tabia, wangeishi vizuri sana tu!
 
Taarifa kamili ni zipi.Muanzisha mada jitokeze basi utupe matokeo kamili na mahamuzi ya mahakama kwa ujumla.
 
Leo.... "sisi tuna Mungu wao wana pesa"


cc: masalia wote, prezzo, mdude, kony..........
 
Mahakama zinafata sheria. Walio kua wanasema hii kesi iko chini ya ikulu wako wapi sasa
 
Je kikwete atapunguza ziara za Arusha kwakukuwa alisema tangu lema aenguliwe kumetuli sasa inamaa fujo za Arusha zitarudi palepele.

Atambue tu fujo za Arusha nio za kudai haki pale haki inapomnyimwa lazima idaiwe kwa nguvu na wao kudai haki wanaita fujo?
 
Back
Top Bottom