Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hivi Kamanda Lema kurudishwa mjengoni ile hoja ya waziri mkuu Pinda kusema uongo itafufuliwa? Maana spika Makinda alisema kwa kuwa Lema alivuliwa ubunge basi hoja yake imekufa!
Mh Lema tafadhari ukamkumbushe spika, mwambie watanzania wanasubiri mwongozo, juu ya waziri mkuu kusema uongo. Halafu tungeni kanuni itakayotoa limit ya muda ambao spika atalazimika awe ametoa mwongozo maana naona ndio imekuwa kinga yao wanaposhindwa na hoja.
 
M4C ni moto wa kuotea mbali bana! Siku zote, HAKI HAISHINDWI MBELE YA MAFISADI ILA ITACHELEWESHWA TU!!!!!!!!
 
Leo sijui wala masalia PM7 wapo kwa mganga? Maana huku hali mbaya sana..... Clema hongera sana kamanda........tupo pamoja.......
 
Wana jamii! Habari za kusikitisha nilizozipata mdahuu nikwamba. Waziri mkuu anamuandikia barua Amiri jeshi mkuu. Kutokana na udhalilishaji aliofanyiwa na majaji kumrudisha lema bungeni.
 
Hahahaaa masalia hii aibu mtazificha wapi nyuso zenu. Mlitamani sana lema ashindwe..mmeshindwa nyie vigagula

mkuu nawe unafuatiliaa ata hili unalijua ngoja tusubiri mchakamchaka utakavowashwa!
 

Mkuu unajua kanuni za bunge? tuambie kama Lema atalipwa mishahara yake akiwa honeymoon
 
Ukweli umeshinda dhuluma na ukandamizaji. "haki haipotei bali haki huchelewa"
 
Hawa Vigagula Masalia sijui wataenda kwa mganga gani tena.Eti hakuna Panya atakayebaki.My Foot!

C.C Shardcole
 
Last edited by a moderator:
nilishawahi kusema humu ndani kuwa Lema na mbarikiwa toka tumboni kwa mama yake, atakayetaka kumuonea ataaibika mwenyewe, leo kauli hii inathibitika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…