Lema anaongea Radio 5 ya Arusha muda huu

Lema anaongea Radio 5 ya Arusha muda huu

Mkuu Lema ni RAIS wa Arusha maana Lema ni zaidi ya kikwete Arusha, na wakifanya kosa wakaweka rais gamba baaaasi, tutaendelea kumtambua lema kama rais wetu.

Ukweli husiyo na shaka mkuu
 
Ww mwenye masters ukisimama na mbowe akaitwa mtu akaulizwa kati ya hawa wawili unadhani nani mwenye masters unadhani atakutaja wewe, lazima atamtaja mbowe tu
 
Back
Top Bottom