Lema anaongea Radio 5 ya Arusha muda huu

Lema anaongea Radio 5 ya Arusha muda huu

Kesho tunasubiri kwa hamu mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ubunge pale uwanja wa shule ya msingi ngarenaro tutakuwa na mbunge wetu mtarajiwa Lema.
NI LEMA TENA ARUSHA 2015
 
Kesho tunasubiri kwa hamu mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ubunge pale uwanja wa shule ya msingi ngarenaro tutakuwa na mbunge wetu mtarajiwa Lema.
NI LEMA TENA ARUSHA 2015

Lema ni mbunge wa kudumu ktk jimbo la arusha
 
Mwisho mtakufulu! Sauti ipi ya MUNGU uloisikia wewe mpaka kua na hakika ya ukisemacho?

Pesa hio mkuu si umesikia jana mpaka watumishi wa Mungu kina g'wajima wamekua wanasiasa?usimshangae huyo!
 
Lowasa ndiye rais wetu ajaye kwani mamilioni ya watanzania wanamuhitaji kuliokoa taifa linalo angamia
 
Jiachie mkuu, wanataka kujifanya wamechomwa sindano ya ganzi hawajui kinachoendelea uzuri ni kwamba dawa inafanya kazi na wameanza kupata uponyaji.

Watapona kamanda,la msingi tusiwape muda wa kupotosha hao hawachelewi
 
Huyo matajir wamemgomea ufadhili ameshaukosa akuna cha machinga complex wala nn
Wenzio wanakiri Lema hana haja ya kampeni...wanajua anafanya kazi ya kuzijaza kura za lowasa, na kuwavuta karibu hata wasiopiga kura.Wenzio wanajitetea km si Lowasa Lema angekuwa na hali ngumu.Sasa matajiri wa nini wakati anasubiri apishwa tuu.
 
Sasa ndo ninaelewa maana ya kauli ya mbowe kuwa tumebadili gia angani. Yaan el ni anawapa shida balaa

Mkuu jana nilikuwa ktk msafara wa mgombea wa ccm mtwara kweli ccm wana hali tete maana kwenye mikutano yao watu walifuata taarabu tu na comedy ya kina joti
 

Apeleke kwenye Msafara na Mihadhara ya fisadi Lowasa!


Kudeal na Lema kwenye mitandao ni sawa na kuwinda simba kwa manati yanayouzwa pale kivukoni...mipira yake ni ya yunimoku. Pangu Pakavu
 
Dr. Slaa kiboko, KAVURUGA kambi nzima, sasa hivi watu ni full kujaribu kujibu mapigo bila mafanikio.

Ahaahhaha haha, yani kila post yako ninayokutana nayo ina jina la "Slaa" mnaanza kufanya mpaka "Magufuli" linasahulika sasa. Kumbuka miluzi ndio iliyo mpoteza "mbwa"
 
Mbunge wa arusha

Mkuu Lema ni RAIS wa Arusha maana Lema ni zaidi ya kikwete Arusha, na wakifanya kosa wakaweka rais gamba baaaasi, tutaendelea kumtambua lema kama rais wetu.
 
Back
Top Bottom