Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,686
- 3,399
Nyumbani kwa Gambo hapo mnapoteza muda tu
Kama huishi Arusha Naomba unyamaze muda utaamua kwani watu wana machungu na wanataka kutumia sanduku la kura kuonyesha ghadhabu zaoKiongoz ccm imepania sana sidhan kama itakubali kudhalilishwa tena nachedema arusha ila tuwe na subra ila nawapa karata ccm kua watashinda
Ndiyo sababu ya wanaCCM kumtukana Nyalandu??watu wamechoshwa na porojo za chadema hawakitaki tena.
Wakati mwingine unakuwaga mtu muelevu na mwenye hoja za maana, ila wakati mwingine unakuwaga mtu mjinga sana mwenye kuongozwa na akili ya kimihemko na ushabiki usio na mantiki yoyoteMarufuku kuongelea Masuala ya Kitaifa, waji kite kwny Masuala ya level ya Kata Yao, Tume imeshatoa Muongozo, wakikiuka ni Kichapo tu!
Ungese ungese Mwisho awamu ya Nne
Unalia lia nini sasa?labda mtashinda njaa Arusha wanajitambua hawawezi kuchagua maharamia ambayo nimetuingiza kwenye hasara baada ya kununua diwani aliyekuwepo
Wewe huelewi unachoandika. Unaandika upuuzi tu. Nyie mlioko nje ya Arusha hamjui hali halis tuliyonayo apa Arusha. Ccm wanashinda na utashangaa. Acheni kuamin propaganda za kwenye mitandaolabda mtashinda njaa Arusha wanajitambua hawawezi kuchagua maharamia ambayo nimetuingiza kwenye hasara baada ya kununua diwani aliyekuwepo
Mungu ibariki Chadema .
Nimekucheka kwa dharau sana !Wewe huelewi unachoandika. Unaandika upuuzi tu. Nyie mlioko nje ya Arusha hamjui hali halis tuliyonayo apa Arusha. Ccm wanashinda na utashangaa. Acheni kuamin propaganda za kwenye mitandao
Ndugu yangu, kweli unatumia tathimini hiyo leo hii? Wakati kila kitu wameshika wenyewe, na ni lazima wamfurahishe mkulu. Acha tafiti zako zilipendwa!!Ngoja tuone ccm watapata diwan arusha mjin na meru?itatupa muelekeo wa siasa nchin
Sema watapola ushindi!!Kiongoz ccm imepania sana sidhan kama itakubali kudhalilishwa tena nachedema arusha ila tuwe na subra ila nawapa karata ccm kua watashinda
Wewe wakati wote unajifanya unamiliki Marking scheme ya Kupima Ubora wa comments za Watu na kuamua ipi ni hoja ya maana na ipi ya kipuuzi!Wakati mwingine unakuwaga mtu muelevu na mwenye hoja za maana, ila wakati mwingine unakuwaga mtu mjinga sana mwenye kuongozwa na akili ya kimihemko na ushabiki usio na mantiki yoyote
Watashinda njaa sio udiwaniNakuhakikishia hata apo murieth CCM watashinda. Kata kadhaa tu ccm watashinda hiyo haina ubishi. Wanashinda bila wasi wasi. Utaona
Wewe mwenyewe unaleta propaganda mitandaoni halafu unakataza wengine. Unajifanya upo akilini mwa wana Arusha.Wewe huelewi unachoandika. Unaandika upuuzi tu. Nyie mlioko nje ya Arusha hamjui hali halis tuliyonayo apa Arusha. Ccm wanashinda na utashangaa. Acheni kuamin propaganda za kwenye mitandao