Lema amezindua Kampeni za Udiwani Kata ya Muriet na kamtambulisha Simon Moleli kuwa mgombea kupitia CHADEMA

Siasa za Arusha na Moshi hazitegemea Sera wala uwezo wa mtu Kuongoza Bali chuki za Wananchi kwa CCM. Ndio maana mtu Kama Lema ambaye hafai hata kuwa Mwenyekiti wa !Mtaa kawa Mbunge!!!
Arusha wanajitambua sana siyo misukule kama wewe
 
Tunapotezeana mda namna hii halafu mpuuzi anakuja kununuliwa na CCM. Huu usenge ndio maana nimenyimwa kumiliki bastola
 
Upinzani nchi hii unachekesha sana huwa wanalalamikia tume ya uchaguzi na mfumo mzima wa uchaguzi kuwa una upendeleo ila uchaguzi ukija wanashiriki halafu matokeo yakija wanashindwa wanaanza lawama tena?
 
Nasikia Lazaro atakuwepo mkutano ujao kumwaga maji yakunawa.....ushauri wa bure CCM tumieni ubabe tu ...au Magufuli ateu madiwani kwa nguvu vinginevyo itakua aibu kama ya Lazaro..
 
Upinzani nchi hii unachekesha sana huwa wanalalamikia tume ya uchaguzi na mfumo mzima wa uchaguzi kuwa una upendeleo ila uchaguzi ukija wanashiriki halafu matokeo yakija wanashindwa wanaanza lawama tena?
Hata wavuta bangi wakizidiwa wanacheka sana!
 
Kazi imeanza, polisi haoo begakwabega na CCM kuwalinda imekwisha wakamata wa na Chadema na maelezo ya polisi yaliyotolewa yanaacha maswali
 
CCM Arisha watashinda kwa kununua wale wadiwani walioshinda kwa kufika bei. Lakin kwa kura za wananchi ccm hawatoboi.
 
Hivi mtu kama una akili timamu unaweza ukakusanya watoto hawa alafu uhutubie mkutano wa kisiasa watakusaidia nin sasa watu wengine bana au ndo kupambana na hali zenu. Mara wengine waseme eti wamepata madume inamaana walikuwa majike woote cdm nzima kichekesho kweli Mimi nilidhani tuna watu wenye akili timamu kumbe bangi tupu duh aya sasa zalianeni maana mlishindwa kuzaliana kwa sababu hamkuwa na dume sasa mmelipata litawatiaje mimbaaa. Angalia kichekesho cha nasari na hawa watoto tena inatakiwa achukuliwe hatua kwa kuwakusanya watoto wakaacha kwenda shule kusoma, au ndo unataka uje useme eti umeibiwa kura mwaka 2020 wakati unakusanya watoto wenye miaka 10 - 14 unamaanisha hao unataka waje waipigie kura cdm ili washinde urais na majimbo yote tz? Hao bado hawajafikia umri wa kupandwa na hilo dume mlilopata waacheni ndo kwanza wanajifunza A shuleni cdm na dume lenu mpooooo litawatia mimba wooooiite na mtazaaaaa sanaaaaa
6f243a5a76bde543c5a0517be0f6e79f.jpg
 
Na madiwani wao waliobaki wafungwe sensa wote kama faru john ili watuepushie vitimbwi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom